TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Raha ya milele umpe eeh bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Ruge.🙏 Amina🙏
 
Ndiyo maana mimi naomba Mungu nije kufa kwa mlipuko wa ajabu hata nilipukiwe na kombora nisambaratike kama udongo.

Aliteseka sana yule mama, siku ya mwisho natoka kumuona nilirudi kwenye makazi yangu na kuomba Mungu naomba mpumzishe yule mama anateseka sana.
Dah usiandike sana hv jaman...dah...mie jaman mambo mengune nahis kudata kbs..pole..dah!hebu muombee mamA
 
Navyozidi kusoma na kupata maarifa kuhusu HEPATITIS B (liver infections), nazidi jiuliza WHY GOD SLAPS IT ON SEX? Why these deadly disease are manly caused by sex? What was the purpose of sex!
Wakuu, huu ugonjwa inaonekana ni more deadly than h.i.v na huu haukupi muda wa kutosha wa kuaga na unaambukizwa kwa njia zile zile kama za h.i.v.
Dah!
 
Back
Top Bottom