babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Depression,toka alivyoachwa na Zamaradi mi nilijua hana muda.Kwani ruge alijua kwamba uhai wake unafikia tamati?
Kwanini usiweke hapa wote tufaidi...???Nimetumiwa clip yake alipotoa neno UDom sijui mwaka gani. Nimeshindwa ku download. Kama unaipenda nenda PM nitumie namba nikupe utapata hazina ya milele.
Omba msaada kwa vijana shost utaelimisha wengi hapa.Nimetumiwa clip yake alipotoa neno UDom sijui mwaka gani. Nimeshindwa ku download. Kama unaipenda nenda PM nitumie namba nikupe utapata hazina ya milele.
Unashindwa kuamini na mwanzon mwa comment yako umeandika innalillah………… ..Innalillah wainnailillah raijuun, aisee nimeona taarifa nikashindwa kuamini ila wote njia yetu ni moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu sana ila nimeshindwa sababu ipo kwenye simu na mimi natumia Chrome.Kwanini usiweke hapa wote tufaidi...???
Wacha kuwa mbinafsi huku ukimsifia mtu siyekuwa mbinafsi
Hapa sina kijana wote mhu! hata msaidizi wangu hawezi ila I wish I could do it. Ngoja nimtafute mchawi Mshana jr. atanisaidia.Omba msaada kwa vijana shost utaelimisha wengi hapa.
Sasa PM ndio ingewezekanaNimejaribu sana ila nimeshindwa sababu ipo kwenye simu na mimi natumia Chrome.
Nahisi hujajua ubongo ulivyo muhimu.. In short ubongo ndo kitu selfish kwenye human body.. Yani ikiona hali haileweki kinazima kila kitu kinabaki yeye moyo na mapafu
Sent using Jamii Forums mobile app
INI sio tishio.. Ni organ pekee inayoweza kuregenerate 100%.. Ni kuwa tuu hospital za afrika ni bulshit n INI linaweza Fanya kazi hats liwe ok 5%Mkuu hapa tunaangalia ni organ gani ambazo zinapata hitilafu kwa haraka/wepesi,
Figo na ini ziko katika hatari kubwa za kushambuliwa au kupata magonjwa mengi tofouti na ubongo...
Hakuna atakae ishi milele nao si muda mrefu tutawaita kwa prefix ya marehemu.Kifo cha kitaifa hasa kwa vijana kimesikitisha sana japo ameugua kwa mda mrefu sana!ila katika kifo chake inasemekana pia kuna binadam wamehusika kupenguza siku zake za kuishi
Kwamba hakuna msiba usiokuwa na mchawi! Chuki zetu waswahili, maana hapo unaandaliwa msiba mwingine tena!Kifo cha kitaifa hasa kwa vijana kimesikitisha sana japo ameugua kwa mda mrefu sana!ila katika kifo chake inasemekana pia kuna binadam wamehusika kupenguza siku zake za kuishi
Pole kwa kuumizwa na misiba hiyo mitatu,pia hongera kwa kutofiwa na ndugu wa karibu aliekuumizaRuge ni watanzania familia itakaposema au kama aliacha wosia sisi tunatekeleza..... KIkubwa Ruge ametimiza mengi kwa kuacha alama nzuri. JIna Ruge kamwe halitasahulika MIsiba mitatu iliyoniumiza Nyerere , Msiba wa waoto wa St Visent na Huu wa Ruge
Inawezekana kuwa alilishws sumu iliyoua figo taratibuInawezekana vipi hii?