TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Nahisi hujajua ubongo ulivyo muhimu.. In short ubongo ndo kitu selfish kwenye human body.. Yani ikiona hali haileweki kinazima kila kitu kinabaki yeye moyo na mapafu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hapa tunaangalia ni organ gani ambazo zinapata hitilafu kwa haraka/wepesi,

Figo na ini ziko katika hatari kubwa za kushambuliwa au kupata magonjwa mengi tofouti na ubongo...
 
Kifo cha kitaifa hasa kwa vijana kimesikitisha sana japo ameugua kwa mda mrefu sana!ila katika kifo chake inasemekana pia kuna binadam wamehusika kupenguza siku zake za kuishi
 
Mkuu hapa tunaangalia ni organ gani ambazo zinapata hitilafu kwa haraka/wepesi,

Figo na ini ziko katika hatari kubwa za kushambuliwa au kupata magonjwa mengi tofouti na ubongo...
INI sio tishio.. Ni organ pekee inayoweza kuregenerate 100%.. Ni kuwa tuu hospital za afrika ni bulshit n INI linaweza Fanya kazi hats liwe ok 5%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifo cha kitaifa hasa kwa vijana kimesikitisha sana japo ameugua kwa mda mrefu sana!ila katika kifo chake inasemekana pia kuna binadam wamehusika kupenguza siku zake za kuishi
Kwamba hakuna msiba usiokuwa na mchawi! Chuki zetu waswahili, maana hapo unaandaliwa msiba mwingine tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge ni watanzania familia itakaposema au kama aliacha wosia sisi tunatekeleza..... KIkubwa Ruge ametimiza mengi kwa kuacha alama nzuri. JIna Ruge kamwe halitasahulika MIsiba mitatu iliyoniumiza Nyerere , Msiba wa waoto wa St Visent na Huu wa Ruge
Pole kwa kuumizwa na misiba hiyo mitatu,pia hongera kwa kutofiwa na ndugu wa karibu aliekuumiza

mvujajasho nguli
 
Back
Top Bottom