babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Depression,toka alivyoachwa na Zamaradi mi nilijua hana muda.Kwani ruge alijua kwamba uhai wake unafikia tamati?
Inaelekea alimpenda sana yule bibi,!ila ndo hivyo bibi alipenda status na mlunguli.
Alivyoona hapasomeki akasepa na Ruge maradhi yakaanza.
Kila mjanja ana mjanja wake.