TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Pumnzika kwa Amani.. Umefanya kazi kubwa sana.

Sijawahi kukuona katika Maisha yangu ila kazi zako zilifanya nilikusifu mbele ya Mke wangu na Mungu wangu.

Yooh Brother pumnzika Kamanda.


Daima Busara, Hekima na sauti yako Unyenyekevu vitabaki kama Nguzo katika Maisha yangu.


Master mind & Game changer sita kusahau brother kwasababu wewe ni Mtu wa kipekee.

Much respect na Lala salama Kaka RUGE.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi ilishndikana kubadilisha..?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kubadili siyo kama vile blood group kuwa you just match the donor and the recepient by simple tests! Kuna mambo mengi katika organ graft!.. kuna rejection due to histoincompatibility ...MHC antigens.. (hayo yaache), shida Nani akupe hiyo figo, nao ni mtihani!
 
May His Soul rest in Peace...His legacy shall live behind him!
 
Hivi chanzo cha kidney failure ni kipi hasa


iPhone 7plus
Sababu kubwa zinazoongoza kwa kusababisha chronic kidney failure ni kisukari na shinikizo la juu la damu (presha ya kupanda)

Sababu nyingne ni matumizi ya dawa za kutuliza maumivu (aspirin,diclofenac, ibuprofen,aceclofenac etc) pamoja na matumizi ya dawa za mitishamba

Uko kwenye risk ipi kati ya hizo hapo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema ukweli aisee,nilipataka pre eclampsia baadae miezi miwili nikaambie niende kwa urologist kucheki kama pressure haikuharibu figo.
 
leo sina ht nguvu za kubishana na wehu km ww

hv kuolewa had mfunge ndoa kwan??kwan wale watot wA2 aliwapata wakiwa wanaishi apart?
 
Mimi msimamo wangu ni kuwa mgonjwa anaeumwa figo akipata dialysis tatu kila wiki za masaa manne manne vizuri kabisa,akazingatia dawa zake za pressure na kisukari (kama anacho) na akazingatia chakula kinachoruhusiwa...Watu wataishi maisha marefu

Changamoto ni umasikini people can't afford dialysis 3 ,can't afford bima na dawa wanapata kwa kuunga unga



Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo sina ht nguvu za kubishana na wehu km ww

hv kuolewa had mfunge ndoa
kwan??kwan wale watot wA2 aliwapata wakiwa wanaishi apart?
Shost sie tunajuq ndoa mpk ifungwe msikitini au kanisani ndo maana hata yule bi dada alienda kuolewa kwa sbb alijua yupo huru hana binding agreement na mtu. Kwa hyo kama ilikua ndoa ya kiserikali tungesikia. Ukisema ndoa unaenda mbali kuna type za ndoa ila hyo ya kukaa miezi sijui kuzaa sio ndoa bali ni mahusiano yanayotambulika kisheria za sasa but si ndoa na hata siku anazikwa hakutakua na risala inayosema marehemu alioa bali marehemu alikua na watoto wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…