TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Pumnzika kwa Amani.. Umefanya kazi kubwa sana.

Sijawahi kukuona katika Maisha yangu ila kazi zako zilifanya nilikusifu mbele ya Mke wangu na Mungu wangu.

Yooh Brother pumnzika Kamanda.


Daima Busara, Hekima na sauti yako Unyenyekevu vitabaki kama Nguzo katika Maisha yangu.


Master mind & Game changer sita kusahau brother kwasababu wewe ni Mtu wa kipekee.

Much respect na Lala salama Kaka RUGE.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi ilishndikana kubadilisha..?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kubadili siyo kama vile blood group kuwa you just match the donor and the recepient by simple tests! Kuna mambo mengi katika organ graft!.. kuna rejection due to histoincompatibility ...MHC antigens.. (hayo yaache), shida Nani akupe hiyo figo, nao ni mtihani!
 
Hivi chanzo cha kidney failure ni kipi hasa


iPhone 7plus
Sababu kubwa zinazoongoza kwa kusababisha chronic kidney failure ni kisukari na shinikizo la juu la damu (presha ya kupanda)

Sababu nyingne ni matumizi ya dawa za kutuliza maumivu (aspirin,diclofenac, ibuprofen,aceclofenac etc) pamoja na matumizi ya dawa za mitishamba

Uko kwenye risk ipi kati ya hizo hapo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu kubwa zinazoongoza kwa kusababisha chronic kidney failure ni kisukari na shinikizo la juu la damu (presha ya kupanda)

Sababu nyingne ni matumizi ya dawa za kutuliza maumivu (aspirin,diclofenac, ibuprofen,aceclofenac etc) pamoja na matumizi ya dawa za mitishamba

Uko kwenye risk ipi kati ya hizo hapo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ukweli aisee,nilipataka pre eclampsia baadae miezi miwili nikaambie niende kwa urologist kucheki kama pressure haikuharibu figo.
 
Huitaj ni kunistahi. Unaleta siasa UCHWARA kwenye mambo ya msingi. Chuki zako za kisiasa peleka huko.Hadhi ya jpm haiwez fanana na kinyago yyt Yule Tanzania. HEADING IKO SAHIHI

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
leo sina ht nguvu za kubishana na wehu km ww

hv kuolewa had mfunge ndoa
Naanzaje kuacha kuelewa?? Mm nimo ndoani but kwani zama aliolewa? Mm mi si mshabiki wa Zama hata kidogo sionagi Impact yake kwangu. Nakatika watu niliosikitika ni vile alivyolikisha saut ya Marehemu analia aisee niliona ni mpuuzi hata huo ubusara wake sikuona.
kwan??kwan wale watot wA2 aliwapata wakiwa wanaishi apart?
 
Ini na Figo vinaua vibaya jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Yaani hapa navuta picha mwaka2016
Huwa namuomba Mungu awaponye wagonjwa wote wa figo,,hata km wangu ilishindikana Basi Yale maombi yawaponye wengine

Nawaza Tena why Mungu amemchukua Ruge!??[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Why wagonjwa wa Figo wanateseka hivi!???
Yaani napata mzigo mzito rohoni kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi msimamo wangu ni kuwa mgonjwa anaeumwa figo akipata dialysis tatu kila wiki za masaa manne manne vizuri kabisa,akazingatia dawa zake za pressure na kisukari (kama anacho) na akazingatia chakula kinachoruhusiwa...Watu wataishi maisha marefu

Changamoto ni umasikini people can't afford dialysis 3 ,can't afford bima na dawa wanapata kwa kuunga unga



Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo sina ht nguvu za kubishana na wehu km ww

hv kuolewa had mfunge ndoa
kwan??kwan wale watot wA2 aliwapata wakiwa wanaishi apart?
Shost sie tunajuq ndoa mpk ifungwe msikitini au kanisani ndo maana hata yule bi dada alienda kuolewa kwa sbb alijua yupo huru hana binding agreement na mtu. Kwa hyo kama ilikua ndoa ya kiserikali tungesikia. Ukisema ndoa unaenda mbali kuna type za ndoa ila hyo ya kukaa miezi sijui kuzaa sio ndoa bali ni mahusiano yanayotambulika kisheria za sasa but si ndoa na hata siku anazikwa hakutakua na risala inayosema marehemu alioa bali marehemu alikua na watoto wawili.
 
Back
Top Bottom