TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Oh aiseh apumzike kwa amani atakumbukwa kwa mazuri aliyoifanyia jamii yetu

waiting for love
 
Wametangaza ITV, Hiyo ni kweli RUGE ameaga Dunia, R. I. P.

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
 
Kumbe habari za kweli. Apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom