TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Katangulia mbele ya haki tayari,Rugge alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa figo.Hali iliyopelekea kupelekwa south africa kwa matibabu na umauti kumkuta huko.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْه
 
Fedha haitanunua uhai kamwe.. Hakika Mungu ndie muamuzi wa mwisho..

Kwaheri Pumzika kwa amani RUGE[emoji22][emoji22][emoji112]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo la busara ile namba ya kumchangia Ruge matibabu tupewe statement yake zimepatikana kiasi gani wapewe watoto wake na Clouds media watagharamia mazishi, tusileteane usanii katika hili, tutatreace kwenye kampuni ya simu husika na account number, atakayetakatisha pesa huzi ajiandae kwenda jela kuungana na watakatishaji wengine kama, Wambura, Kisena na Malinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ampumzishe mahali pema peponi.

Kama ni mkono wa mtu hakika alaaniwe na apate mabaya hapa hapa duniani na kuzimu pia.

Kuna watu wabaya sana hapa Tanzania.
Duh,hakuna ajiuye siri ya kifo aisee,u nani wewe hata utoe laana kwa watu?

Rip ndugu Ruge
 
Back
Top Bottom