TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Inawezekana alitutoka muda mrefu ila kutokana na Jina alilokua nalo hapa Tz. Watu walikua wanataka wafukie baadhi ya mambo ili watu wasijadiri

Especially hili suala la korosho

R.I.P Luge mutahaba

Sent using Jamii Forums mobile app
anaitwa Ruge sio Luge,yaani mtu kufariki dakika kadhaa tu mnaanza na kumbadilishia jina,vipi ikifika kesho
 
Back
Top Bottom