TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Wewe kifo, hakika unge elewa maana ya huu msemo " kill him not, let him go" , ungetuachia Ruge wetu aendelee kuishi, lakini maadama wewe kifo / death umechagua kutumia msemo huu " kill him, let him go". Sisi kama wanadamu hatuna cha kuongeza zaidi ya kusema ni kazi yake Mola.
 
Naomba kuuliza

ruge amekufa kifo cha kawaida?


ruge dakika za Mwisho za uhai wake alisema nini?


au alikata Roho ghafla?

Je ruge alijua anaondoka duniani na hatarudi Dar tena milele na milele?

Maswali yako yananifanya nijiulize sababu zinazosababisha Figo kufa kwa haraka ninini? je Ruge ni sababu ipi iliyopelekea Figo zake ku fail?
 
Tatizo mods wanaunganisha nyuzi balaa
Wanaboa sasa

Fanya hivi anzisha uzi spesho kwa ajili ya msiba wa bwana huyu updates zote ziwepo hapo ratiba na matukio kwa picha ama videos means yeyote mwenye pic za matukio ya msiba huu atatupia hapo

Tumuage humuhumu kimtandao

Kuna ishu ya ving'amuzi watu wengi hatuna hiyo channel ya clouds baada ya fyekeo la TCRA

Then mwishoni sisitiza mods wasiuunganishe

Jamaa alikuwa muhamasishaji hasa kwa sie vijana tushiriki hata kwa njia ya mtandao inatosha kuweka kumbukumbu nzuri



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa si pahala pake, nakusalimu kapeace

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko sahihi.Lakin pia anakubaliana na Dudu kuwa wasanii wanadhulumiwa.sasa labda Dudu atusibitishie ni kwa namna gani Ruge na CMG wanadhulumu wasanii.
Inasikitisha kuona msanii mkongwe anaongelea suala la dhuluma kwenye nchi yenye utawala bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Future ya huyo mtoto inapangwa na jiwe na bashite? Wa mwendawazimu kweli,umezoea kujipendekeza kwa viongozi hivyo unaamini kila mtu ili afanikiwe inabidi ajipendekeze kwao.
 

Mvuta unga Tangu lini akaongea cha maana....ndo mana wanapelekwa nyumba zao wanatengwa na wenye akili timamu....yeye ndo mpumbavu na ubabe wote ule kilichonpeleka kuvuta Unga nn?...Ruge alikuwa janga la wasanii hasa pale anapoona hatopata unyonyaji kupitia msanii.Chidi kiukweli ni Muhanga wa kila kitu.
 
Kuna watu watabir humu jf kuna Uzi ulianzishwa hata wiki haijaisha kuhusu yule binti kipepeo kutapeliwa pesa Yale na Rughe

Kuna mchangiaji mmoja akasema Ruge tayar kishakufa na familia yake kina jambo wanalitengeneza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno ungewambia hao viongozi wako kua wanavyovifanya sio vizr, wewe mfano watoto hao mnaowatesa wakijua kua wazazi wao waliuawa kwa sababu walikua wanatafuta ukweli watashindwa kua na kisasi miyoni mwao?
Kisasi wasipofanya kwao watafanya hata kwa watoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi KKKT waligoma kumzika kaka yangu kapuku kisa tu hana ndoa sasa nasubiria kuona wakimzika hadi na askofu kisa tu Ruge ni tajiri...lets stay eye opened
KKKT ndo utaratibu mpya,sio ndoa tu,na kama hushiriki ibada na kutoa sadaka unajibeba,huzikwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo ni principle ya maisha, wanachoshindwa kueleza hiyo dhuluma wamefanyiwa kwa mtindo gani?

kama unafanya kazi bila mkataba kuna wa kumlaumu ama upumbavu wako?

na kama mkataba wa kazi upo je umekiukwa?...

na kama umekiukwa hatua ipi umechukua?

Kwa anayejielewa hata siku moja maisha yakikupiga usilie na kunyooshea wengine vidole ni upumbavu.. mlango ukifungwa toboa ukuta toka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…