MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
Wewe kifo, hakika unge elewa maana ya huu msemo " kill him not, let him go" , ungetuachia Ruge wetu aendelee kuishi, lakini maadama wewe kifo / death umechagua kutumia msemo huu " kill him, let him go". Sisi kama wanadamu hatuna cha kuongeza zaidi ya kusema ni kazi yake Mola.