TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Truth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watu hawakutaharuki Majey alivyoitwa Clouds 360 na kuongea kua Ruge ndie alimpa moyo kufungua radio station yake waje wataharuki kumuona msibani.
 
Hiyo siyo taharuki mdogo wangu,katika uandishi wako haukuwa na sababu ya kulitumia kwani limebadili maana nzima ya habari...uungwana ni kuandika kitu halisi,au sio!...taharuki ni hali ya mshituko mkubwa na au sintofahamu inayoweza kusababisha ugomvi,janga,ajali au hatari kubwa...mfano bomu lilipuke halafu watu waanze kuhaha kila mmoja na njia yake, hiyo ndio utaita taharuki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi KKKT waligoma kumzika kaka yangu kapuku kisa tu hana ndoa sasa nasubiria kuona wakimzika hadi na askofu kisa tu Ruge ni tajiri...lets stay eye opened
Dahh ,poleni sana ! Lakini taratibu za kanisa zinapaswa kuheshimiwa pasipo ubaguzi

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Bila shaka somo limeeleweka...hakuna binadamu aliyejuu zaidi ya mwingine
 
Ngumu sana. Wanafyeka balaa. Picha natamani kuzileta humu ila daah machozi ya baba yake Ruge mazito mno bora picha zibaki huko huko insta. Mzee kaumia sana kijana wake kumuacha

Cheki hapo niliweka uzi wa mazishi wameunganisha na kuweka updates bila hata ka shukrani mfyuuu zao
 
KKKT ndo utaratibu mpya,sio ndoa tu,na kama hushiriki ibada na kutoa sadaka unajibeba,huzikwi

Sent using Jamii Forums mobile app
yani hapo na wao wenyewe watakufa siku moja ila wamekua majaji wa wangine...sasa wangepewa mamlaka ya zaidi, motoni kungejaa walala hoi hata kama ni wenye haki...na mbinguni kungejaa wahuni matajiri! ndio maana kristu alikua akikutana na hawa viongozi wa dini lazima awazingue.....yali zilikua aziivi kabisa na hawa washenzi!
 
Kwani madactari wamesema alikutwa na nini ktk figo
 
Hapo namba mbili Ruge ali nini mkatoliki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…