Denis lugora
Member
- Feb 8, 2019
- 9
- 3
Truthhiyo ni principle ya maisha, wanachoshindwa kueleza hiyo dhuluma wamefanyiwa kwa mtindo gani?
kama unafanya kazi bila mkataba kuna wa kumlaumu ama upumbavu wako?
na kama mkataba wa kazi upo je umekiukwa?...
na kama umekiukwa hatua ipi umechukua?
Kwa anayejielewa hata siku moja maisha yakikupiga usilie na kunyooshea wengine vidole ni upumbavu.. mlango ukifungwa toboa ukuta toka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app