TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

hao waliokua wanamtibu (madocta) hawakuwaambia familia kua figo inaweza kutolewa na kupachikwa nyingine kama betri la noki
Si rahisi kivyo, hata kidogo. Organ transplant kuna kitu kinaitwa histoincompatibillity,..... major histocompatibility complex-MHC... self and non self discrimination. Google upate details kidogo..
 
It is with a heavy heart that I take this moment to express my condolence to Prof. Mutahaba, Mama Mutahaba, brothers and sisters,also, to the Children of Ruge Mutahaba(R.I.P).

You will be dearly missed for generations to come. Amen
 
RIP Ruge….naomba kuuliza katika wasifu wa marehemu inaonekana alizaliwa Marekani, kuzaliwa Marekani ina maana alikuwa na uraia wa Marekani kwa uzawa ( Citizen by birth) na inaonekana alisomea kule pia. Je aliukana uraia wa Marekani au kama alikuwa bado ana haki ya uraia wa Marekani kwanini asinge enda kutibiwa Marekani??
 
Nauli mjomba ilikua ngumu, Lakini pia hakua na pakufikia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada... Ulishawahi uguza ndugu yako wa karibu,jamaa au rafiki???

Kwenye matibabu iko hivi,hasa tatizo alilokua nalo marehemu Ruge,huwezi fanya surgery ya kidney plant kama mgonjwa pressure yake ipo juu sana..

Na hii labda ndiyo tatizo lililokua linamsumbua marehemu Ruge hadi wakashindwa kumufanyia,walikua wana control pressure ishuke then wafanye mambo....

Mwaka juzi nilipoteza kaka yangu pale Bugando hospital,alipata stroke, pressure ikapasua mishipa ya damu kichwani,akazima for seven days,siku ya nane akafariki....

Kila wakitaka mpeleka kwenye chumba cha upasuaji,pressure iko juu,wanashindwa mpasua,wanaanza control pressure...

Ogopa sana, mtu kama Ruge alipatwa na majanga haswa kutoka serikalini na kwa mpenzi wake Zamaradi
1. Kuvamiwa Clouds Fm na rafiki yao mkubwa,halafu mamlaka za juu zikamwacha mvamizi wake,bila yakumpa adhabu yoyote... Hapa alipata maumivu makubwa sana,hakuamini macho yake,kama serikali ya ccm inayotumia kituo chake kwenye propaganda zao leo hii wamekua watesaji wake...

2. Kuachwa na mzazi mwenzake Zamaradi na kwenda kuolewa sehemu nyingine,Ruge alijaribu kuomba samahani kwa mwenzake hadi akawa analia,yule mwanamke alikua ana mrekodi,akaitoa audio na kuisambaza,hapa napo aliumia...

Serikali kuzuia matamasha yake,mara vile anaandaa tamasha,dakika za mwisho ananyimwa kibali,walikua wapi kumunyima tangu mwanzo,kaingia gharama kiasi gani kuandaa hilo tamasha? Je wa zamini wataendelea fanya kazi na Ruge tena???

Pumuzika kwa Aman kaka Ruge...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani jamani tusio na insta ndo tunaomboleza kianalojia

Mods tunaomba mruhusu mada itayohusu matukio ya msiba wa mpendwa wetu huu mnaotufanyia ni ukiritimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si rahisi kivyo, hata kidogo. Organ transplant kuna kitu kinaitwa histoincompatibillity,..... major histocompatibility complex-MHC... self and non self discrimination. Google upate details kidogo..
Hakika mkuu, upandikizaji wa figo sio rahisi kama watu wanavyofikiri, MHC ni muhimu sana inazingatiwa, kama ambavyo kuna makundi ya damu ambayo mtu anaweza kupokea na kutoa katika kundi fulani pekee, vivyo hivyo vigezo fulani hutumika kabla ya kupandikiza figo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwandiko huu naomba kuuliza Wewe ni Mtz au mkongomani?? then tuendelee na mada
 
Halafu tunaona mapichapicha ya wachawi wakiwa msibani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…