Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm ni shida ndio maana mkifa konki master haoni umuhimu wenu anamwaga mavi tuAnafikiri ndio ataonewa huruma na kuachiwa huko korokoroni? RIP Ruge.
Alikuma
Halafu Konki akisema mnastahili kufa x2 Mwakyembe anaamrisha akamatwe!Anafikiri ndio ataonewa huruma na kuachiwa huko korokoroni? RIP Ruge.
Si rahisi kivyo, hata kidogo. Organ transplant kuna kitu kinaitwa histoincompatibillity,..... major histocompatibility complex-MHC... self and non self discrimination. Google upate details kidogo..hao waliokua wanamtibu (madocta) hawakuwaambia familia kua figo inaweza kutolewa na kupachikwa nyingine kama betri la noki
Ila figo zikifeli ni hatari sana
RIP Ruge….naomba kuuliza katika wasifu wa marehemu inaonekana alizaliwa Marekani, kuzaliwa Marekani ina maana alikuwa na uraia wa Marekani kwa uzawa ( Citizen by birth) na inaonekana alisomea kule pia. Je aliukana uraia wa Marekani au kama alikuwa bado ana haki ya uraia wa Marekani kwanini asinge enda kutibiwa Marekani??
Jamani jamani tusio na insta ndo tunaomboleza kianalojiaNgumu sana. Wanafyeka balaa. Picha natamani kuzileta humu ila daah machozi ya baba yake Ruge mazito mno bora picha zibaki huko huko insta. Mzee kaumia sana kijana wake kumuacha
Cheki hapo niliweka uzi wa mazishi wameunganisha na kuweka updates bila hata ka shukrani mfyuuu zao
Hakika mkuu, upandikizaji wa figo sio rahisi kama watu wanavyofikiri, MHC ni muhimu sana inazingatiwa, kama ambavyo kuna makundi ya damu ambayo mtu anaweza kupokea na kutoa katika kundi fulani pekee, vivyo hivyo vigezo fulani hutumika kabla ya kupandikiza figo.Si rahisi kivyo, hata kidogo. Organ transplant kuna kitu kinaitwa histoincompatibillity,..... major histocompatibility complex-MHC... self and non self discrimination. Google upate details kidogo..
sure!Hakika mkuu, upandikizaji wa figo sio rahisi kama watu wanavyofikiri, MHC ni muhimu sana inazingatiwa, kama ambavyo kuna makundi ya damu ambayo mtu anaweza kupokea na kutoa katika kundi fulani pekee, vivyo hivyo vigezo fulani hutumika kabla ya kupandikiza figo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwandiko huu naomba kuuliza Wewe ni Mtz au mkongomani?? then tuendelee na madaHellow bosess
kweli kifo cha ruge kimetustua wengi ni jambo ambalo wengi (tulitegemea sema sio kwa haraka ivyo) limetustua. alale mahali pema peponi
twende kwenye mada nani yupo nyuma ya kifo cha ruge??, unaweza kusema labda siku zake zimefika lkn ukiangalia kwa jicho la tatu utaona kuna namna siku zake zimezogezwa mbele na mtu au kikundi cha watu kwa malego au faida yao binafsi
mambo yalinishangaza kuhusu marehemu ruge na kifo chake
1. Alisumbuliwa na figo akapelekwa SA kwa matibabu.
=>garama za matibabu SA ni ghali kuliko India japo huduma zinaweza kulingana mpaka anafariki alitumia 800+ml za matibabu
=>JE nduguze walikosa ela ya figo?? ya kumfanyia trasplant huko SA??, Ipo ivi miezi 8 iliyopita sida ya figo ilianza kwa ruge walipo ngudua hawakusema akalazwa. Navyo ijua SA na naigeria ndo nchi rahisi kupata viungo vya wanadamu hapa Africa, hapo SA figo kia-haramu unaweza pata kwa $5000-12,000 na kihalali hazidi $50,000 ruge asinge shindwa kulipia kivyovyote vile ili kuokoa maisha yake.
=>hao waliokua wanamtibu (madocta) hawakuwaambia familia kua figo inaweza kutolewa na kupachikwa nyingine kama betri la nokia
hapa kuna mambo matatu
1.madocta labda hawakusema ile waendelee kupiga ela za familia kwa kutumia mashine
2.familia iliambiwa ikaamua kupiga kimya kuangalia itakuaje (matokeo yake wamempoteza) au
3.Familia ilikua inajipanga kutafuta figo na hapo ndo umauti ukamfika
2.ruge hakua ameoa
hii ndo inaweza kua sababu ya siku zae kuwahi kufika, ruge alukuma mkatoliki (sina uhakika sana) mara nyingi kwenye ndoa mmoja akifariki mali zote zinaenda kwa mweza aliyebaki na kama alikua hama basi mali zage zinagawiwa kwa nduguze (watu wa karibu) ruge financial alikua vizuri huwenda ikawa kuna watu au kikundi cha watu walitaka utajiri wake walivyo pata point ya figo wakaamua wamtolea hapo hapo
NB: Hayo ni maoni yangu bnafsi unaweza nirekebisa kama utaona kuna sehemu nimekosea nimeandika kwa wema tu wakuu.[/b][/b][/b]
Halafu tunaona mapichapicha ya wachawi wakiwa msibaniMtoa mada... Ulishawahi uguza ndugu yako wa karibu,jamaa au rafiki???
Kwenye matibabu iko hivi,hasa tatizo alilokua nalo marehemu Ruge,huwezi fanya surgery ya kidney plant kama mgonjwa pressure yake ipo juu sana..
Na hii labda ndiyo tatizo lililokua linamsumbua marehemu Ruge hadi wakashindwa kumufanyia,walikua wana control pressure ishuke then wafanye mambo....
Mwaka juzi nilipoteza kaka yangu pale Bugando hospital,alipata stroke, pressure ikapasua mishipa ya damu kichwani,akazima for seven days,siku ya nane akafariki....
Kila wakitaka mpeleka kwenye chumba cha upasuaji,pressure iko juu,wanashindwa mpasua,wanaanza control pressure...
Ogopa sana, mtu kama Ruge alipatwa na majanga haswa kutoka serikalini na kwa mpenzi wake Zamaradi
1. Kuvamiwa Clouds Fm na rafiki yao mkubwa,halafu mamlaka za juu zikamwacha mvamizi wake,bila yakumpa adhabu yoyote... Hapa alipata maumivu makubwa sana,hakuamini macho yake,kama serikali ya ccm inayotumia kituo chake kwenye propaganda zao leo hii wamekua watesaji wake...
2. Kuachwa na mzazi mwenzake Zamaradi na kwenda kuolewa sehemu nyingine,Ruge alijaribu kuomba samahani kwa mwenzake hadi akawa analia,yule mwanamke alikua ana mrekodi,akaitoa audio na kuisambaza,hapa napo aliumia...
Serikali kuzuia matamasha yake,mara vile anaandaa tamasha,dakika za mwisho ananyimwa kibali,walikua wapi kumunyima tangu mwanzo,kaingia gharama kiasi gani kuandaa hilo tamasha? Je wa zamini wataendelea fanya kazi na Ruge tena???
Pumuzika kwa Aman kaka Ruge...
Sent using Jamii Forums mobile app