TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kama angekuwa bado na uraia wa Marekani was Tz ungefutka baada ya kufika miaka 18.Na kama ungefutika angepoteza haki zake na kama Mali angeingia kama muwekezaji.Na hiki ndiyo kilio cha diaspora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shida kubwa sana kupenda masister duu hasa wa mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sii kutoka ofisi ya Mh.Mbowe aslani itakua ni ma ccm yametengeneza
 
Aiseee! labda kuna kingine kilichofanya atangulie ama wakati ulishafikia tamati.
 
Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Tuwe na nidhamu ya pesa
-Nidhamu ya kazi na kutengeneza mshikamano na wafanyakazi wenzako
-Amejenga uwezo kwa vijana walioko katika fani mbalimbali hapa nchini
-Mafanikio hayaji hivi hivi. Lazima mtu ufanye kazi.
 
Waziri mkuu na mawaziri kibao wamefika hapo msiban jana nao sio wanasiasa wakubwa ngazi za juu?
 
-Tuwe na nidhamu ya pesa
-Nidhamu ya kazi na kutengeneza mshikamano na wafanyakazi wenzako
-Amejenga uwezo kwa vijana walioko katika fani mbalimbali hapa nchini
-Mafanikio hayaji hivi hivi. Lazima mtu ufanye kazi.
Je walio uliza maana ya unafiki wamepata majibu mimi nimejifunza kwamba Viongozi wa kitaifa wanatakiwa kutunza kauli zao '' Public Figures Have to keep their words''
 
-Tuwe na nidhamu ya pesa
-Nidhamu ya kazi na kutengeneza mshikamano na wafanyakazi wenzako
-Amejenga uwezo kwa vijana walioko katika fani mbalimbali hapa nchini
-Mafanikio hayaji hivi hivi. Lazima mtu ufanye kazi.
Maneno yenye hekima sana,ila ngoja mahasimu wake tusikie reply zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…