Rapid Tranquilizer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 374
- 392
Kama kuna aliomfanyia ubaya, basi Mungu atamlipa hapahapa duniani, Rest in Peace RugeMungu ampumzishe mahali pema peponi.
Kama ni mkono wa mtu hakika alaaniwe na apate mabaya hapa hapa duniani na kuzimu pia.
Kuna watu wabaya sana hapa Tanzania.
Dah kadanja na pesa yake. Huu ugonjwa huu
Ndie alikuwa na ugomvi na Bashite? Siri kuu ya ugonjwa ni nini? R.I.P kama kweli
Itakua alishapata complications other than simple CKDRasmi kafa.. ITV