TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hv ni technology au kukosa maarifa..?

Watu wanatumia msiba kupata followers na likes tu..!
Deep inside hakuna uchungu wala chochote wanachofeel kweny msiba wa ruge..!

You tubers wametaradadi na maswali yale yale yasiyo kuwa na chembe ya unprofessional wa habari masawali yao ni "unazungumziaje diamond hajaja kwenye msiba "? Watu wanajiuliz mbona umechelewa kupost.???

Kwanini tuhukumiane kweny msiba..?
Wanaosema diamond ana roho mbaya hapost je wao watapost nin akifa akat sas hv wanamchukia..??

nimeshangaa mrisho mpoto nae et anamuhimiza diamond aende kweny msiba, I'm like seriously..?

Wanajua diamond anawaza nini sas hv.. What if alikuwa anapanga aende BUKOBA..? what if alikuw anataka aende kupokea kesho airport..?

And by the way who's diamond mpka watu waoneshwe kukerw kwanini hapost..? Au kwann haendi msibani.. Mbna jide hashambuliwi..?

Kinachotakiwa hapa ni KUMUOMBEA NDUGU YETU RUGEMARILA apumzike kwa amani... We both have struggles in life like who are you to judge???

Binafs sipendi drama za misibani.. mtu azikwe ndo mambo mengine yaendelee na huo ndo utanzania..!


Maya your soul rest in peace.. RUGE MUTAHABA.. You will always be remembered.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izo ndio akili za ki Tundulisu sasa ikiwa Rais kawa wakwanza kutangaza wewe kinacho kukera kitugani? Unajua Hayati Baba wa Taifa alikufa lini? Unajua apa Tanzania msiba ulitangazwa lini? Ivi unafikiri Watanzania wote walikua hawajui kama Baba wa Taifa alisha kufa kabla ya Tangazo lile!! Acha kufuatilia mambo yasiyo kuhusu, usione walio kaa kimya wote wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nisaidie dada yangu, kwani Ruge alikua kiongozi wa kitaifa?

Ni pm namba yako sister tubonge, kuna mambo nataka nikusaidie dada yangu, nikutaftie mume, uachane na waume za watu.
 
Hahaha wewe jamaa jinsia za hawa watu umezijulia wapi ? Maana naona ni me kwenye profile zao ila unawaita dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo ya kijinga kabisa.Rais ana vyanzo vya taarifa nyingi kuliko wewe,kwanza taarifa yake inasema amejulishwa,sasa wewe unakuja na kusema Rais ndiyo ametangaza kivipi?yani waTanzania tunakosaga cha kufanya na kukurupuka tu ovyo ovyo
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Wabongo wanataka upost ndio uonekane umeguswa..mbaya zaid hata msiba haujaisha wanaanza hukum watu..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Ugonjwa wake tu mwanzo ulifanywa siri,si ajabu kwa hilo la kifo pia..
 
Mbona taarifa zilishakuwa proved kuwa alikufa mwaka Jana?
,ilikuwa inasubiriwa bill ya hospital imaliziwe na waruhusiwe kuuchukua mwili wa marehemu,
so baada ya harambee ya kumchangia hela fasta ikatimia,
ndio maana mmeona fasta hata wiki ya michango haijaisha wametangaza kifo,
#Be wise.

The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
 
Hata huyu mzee Mwakyembe anatafuta kiki kupitia msiba wa Ruge.
 
GENTAMYCINE,
Dada, mambo ya chuki kwa rais yametokea wapi mamaangu?

Rais alikua wa kwanza kumchangia Ruge, ni kweli ila ni baada ya umma kutangaziwa kua Ruge anaumwa ndio rais akatoa mchango wake.

Una uhakika kuwa maelezo yangu yote hayo marefu hapo yameonyesha Chuki / Husuda / Kisununu dhidi ya Mheshimiwa Rais wangu Dkt. Magufuli? Kuna Watu ama hakika huwa mnanilazimisha niwe nawajibu hovyo ( Kunya / Shombo ) hapa Jamvini halafu mnakasirika na nikiwa nawadharau kwa Upumbavu / Upopoma wenu msiwe mnakasirika sawa? Nakupa ' assignment ' ndogo tu nakuomba urudie Kusoma hiyo ' Post ' yangu hapo na nionyeshe ni wapi nimemchukia Rais na ukijiridhisha kuwa hakuna nakuomba uniombe radhi haraka kabla ' Mizimu ' yangu ya Uzanakini ( Mara ), Umakuwani ( Mtwara ) na Ututsini ( Gisenyi nchini Rwanda ) haijaamka na ukajuta kuifahamu hii ' Brand ID ' sawa?
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…