Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Alipokua hospital hawakuruhusiwa watu kumuona isipokua ndugu wa karibu tu.Ingependeza zaidi kama ungekuwa na moyo huu kipindi akiwa mgonjwa. Maana kwa sasa usingepata tabu kuuliza ingekuwa waenda tu kuaga.
Au ndio ulibanwa na majukumu Mkuu?
Then kwanini walificha kwa mwezi mzima?Jamaa alikufa mwezi mmoja nyuma tangu mwez wa kwanza,,ile michango ilikuwa ni movie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa buku7 akili zao zimewarukaHahahahahaha, We Jamaa hopeless sana!!!
Sent from my Iphone using Tapatalk
yani hapo na wao wenyewe watakufa siku moja ila wamekua majaji wa wangine...sasa wangepewa mamlaka ya zaidi, motoni kungejaa walala hoi hata kama ni wenye haki...na mbinguni kungejaa wahuni matajiri! ndio maana kristu alikua akikutana na hawa viongozi wa dini lazima awazingue.....yali zilikua aziivi kabisa na hawa washenzi!
Then kwanini walificha kwa mwezi mzima?
Aisee sasa shida ilikua ni nini mkuu?kifo chake ni cha utata sana wala alikuwa aumwi km watu mlivyo aminishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yeye si ndo mtoto kama ulivyosema na msiba umeenda kwa baba yake,tatizo liko wapi?Kama zilivo desturi za kichaga na kihaya mara nyingi mtu mzima anapofariki msiba huwekwa nyumbani kwake, na Kama ni mtoto basi msiba huwa kwa wazazi wake, sijaelewa kwanini Kaká yetu mpendwa wameamua kupeleka msiba kwa baba na si kwake, au labda ni kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe kwa wa Tanzania.
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi
Usijali we ukidedi tutaweka msiba nyumbani kwakoKama zilivo desturi za kichaga na kihaya mara nyingi mtu mzima anapofariki msiba huwekwa nyumbani kwake, na Kama ni mtoto basi msiba huwa kwa wazazi wake, sijaelewa kwanini Kaká yetu mpendwa wameamua kupeleka msiba kwa baba na si kwake, au labda ni kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe kwa wa Tanzania.
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi
Hahahahaaa! Naendelea kupokea busara zako tu.Kujenga ni uoga wa maisha. Ponda mali, kufa kwaja
Akalipe auMkuu taja tu hosptali gani labda jamaa anataka kwenda kuhakiki ile gharama ya matibabu.
Sent using Jamii Forums mobile app