TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Ingependeza zaidi kama ungekuwa na moyo huu kipindi akiwa mgonjwa. Maana kwa sasa usingepata tabu kuuliza ingekuwa waenda tu kuaga.

Au ndio ulibanwa na majukumu Mkuu?
Alipokua hospital hawakuruhusiwa watu kumuona isipokua ndugu wa karibu tu.
 
yani hapo na wao wenyewe watakufa siku moja ila wamekua majaji wa wangine...sasa wangepewa mamlaka ya zaidi, motoni kungejaa walala hoi hata kama ni wenye haki...na mbinguni kungejaa wahuni matajiri! ndio maana kristu alikua akikutana na hawa viongozi wa dini lazima awazingue.....yali zilikua aziivi kabisa na hawa washenzi!

Acheni majungu jamani. KKKT wanazika waumini wake wote ilimradi kuna uthibitisho wa ubatizo na kipaimara. Kwa waumini walioko nje ya kundi kwa kuzini au kwa kutoshiriki mambo ya kanisa wanazikwa na kanisa na kuna liturgia kabisa ila nimesahau ukurasa gani katika kile kitabu. Halafu waumini wengi huendelea kuhukumiwa na wanadamu kama nyie ilihali hamjui marehemu kamaliza vipi dakika zake. Mara nyingi watu wanaopata bahati ya kujua watakufa hutengeneza mambo yao wakiwa vitandani. Tunajuaje kama Ruge hakuwahi kutubu akiwa hai?
 
Taarifa kwa Umma. Mwili wa mpendwa wetu Ruge Mutahaba utawasili leo saa 9:00 Alasiri kutoka South Africa. Hii ni Ramani ya njia rasmi mwili utakapopita hadi kufikishwa hadi Hospital ya Lugalo kupumzishwa. Wakazi wa jiji la Dar es salaam na meaneo ya jirani mtajipanga pembezoni mwa Barabara wakati mwili wa mpendwa wetu ukipita kwa heshima za mwisho.
53354678_294443404569051_374969460976133714_n.jpg
 
Kama zilivo desturi za kichaga na kihaya mara nyingi mtu mzima anapofariki msiba huwekwa nyumbani kwake, na Kama ni mtoto basi msiba huwa kwa wazazi wake, sijaelewa kwanini Kaká yetu mpendwa wameamua kupeleka msiba kwa baba na si kwake, au labda ni kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe kwa wa Tanzania.

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi
 
nyumbani panakamilika, kukiwa na baba, mama watoto. yaani watu wengi wengi hivi...

marehemu hajawai kuoa.. inasemekana marehemu hakuwa anaishi na watoto wake... anaishi kama msela masaki..

hiyo ikapelekea msiba ufanywe home kwa wazazi...

na pia wazazi wenyewe wana uwezo na eneo lao la nyumbani ni kubwa kupokea watu wengi bila shida
 
Kama zilivo desturi za kichaga na kihaya mara nyingi mtu mzima anapofariki msiba huwekwa nyumbani kwake, na Kama ni mtoto basi msiba huwa kwa wazazi wake, sijaelewa kwanini Kaká yetu mpendwa wameamua kupeleka msiba kwa baba na si kwake, au labda ni kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe kwa wa Tanzania.

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi
Sasa yeye si ndo mtoto kama ulivyosema na msiba umeenda kwa baba yake,tatizo liko wapi?

Japokuwa hata maiti iende kuzikwa ikulu ndo ishatoka hiyo,wala haitafufuka.
 
Kama zilivo desturi za kichaga na kihaya mara nyingi mtu mzima anapofariki msiba huwekwa nyumbani kwake, na Kama ni mtoto basi msiba huwa kwa wazazi wake, sijaelewa kwanini Kaká yetu mpendwa wameamua kupeleka msiba kwa baba na si kwake, au labda ni kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe kwa wa Tanzania.

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi
Usijali we ukidedi tutaweka msiba nyumbani kwako
 
Back
Top Bottom