Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Hahaha watu wenye nia ovu wapi wapi? Naomba mnisaidie kumtag daudiAskofu Gwajima amefika nyumbani kwa wazazi wa Ruge na kutoa salamu zake za rambirambi na kuwatia moyo wafiwa.
Askofu Gwajima anasema vifo huja kwa sababu mbalimbali lakini zilizo kuu ni umri kwenda na ile ya maisha kukatishwa na viumbe wengine wenye nia ovu.
Askofu ametolea mfano wa kifo cha Yesu ambacho hakikusababishwa na umri bali watu waovu.
Source Clouds tv!
Aliyekaribu na pugi mwambieni aache dharau khaa si angeitoa miwani wakati wa kusalimiana na Mzee Mutahaba. Miwani yenyewe fekiView attachment 1034795mtoto wa kina IKIRIRI kichwa wazi msibaniView attachment 1034796
😂😂😂Shoga uteam had huku😥🤔
wamekengeuka!Juzi KKKT waligoma kumzika kaka yangu kapuku kisa tu hana ndoa sasa nasubiria kuona wakimzika hadi na askofu kisa tu Ruge ni tajiri...lets stay eye opened
Huyo cheusi mangala atuache jamani, anajiliza nini mnafiki mkubwa huyo?
Kuachana na Ruge sio kosa, ni mapenzi ambayo ni uamuzi wake binafsi.
Mimi tokea avujishe zile voice notes alinikera sana.
Ningekuwa mimi ndio Kemilembe ningemzibua vibaoooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23]hichi kimtu sikipendi jamani daah bora kuunga undugu na dudubaya kukasimanga haka kaizi
unakaburuta unakaweka kwenye angle..unamwambia wifi kaa hapa hapa..bahay mbaya sina wifi mtata😂😂..ningemtatuaNahisi hata mie ningemshushia mabao ya haja ama ningemtimua na kumwambia aache watoto
Msamaha ni kitu bora...Furaha kwa zama
Halafu wanasisitiza msamaha@mmmh wakimzika utafanyaje ? kama amebatizwa na ameishi kwa kufuata sheria zote za dini ana haki zote
Kaongea vema.Askofu Gwajima amefika nyumbani kwa wazazi wa Ruge na kutoa salamu zake za rambirambi na kuwatia moyo wafiwa.
Askofu Gwajima anasema vifo huja kwa sababu mbalimbali lakini zilizo kuu ni umri kwenda na ile ya maisha kukatishwa na viumbe wengine wenye nia ovu.
Askofu ametolea mfano wa kifo cha Yesu ambacho hakikusababishwa na umri bali watu waovu.
Source Clouds tv!
Kumkubali kwako hakuna nia ovu?!!Tofauti na uaskofu gwajima ni very brilliant person kama huamini sikiliza mahubiri yake the back here na mlejesho.
Binafsi namkubali sana huyu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwatuma nini ?Na shetani mhusika aliyemtuma Lemutuzi na Hassan Ngoma naye kaenda bila aibu ?
Sasa ashakufa tayari wamjue wasimjue haina haja tena yaani hawataki kujishusha atiii!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3]Wengi walikuwa hawamjui kama ni wa maeneo yale
Kwanini ipunguzwe na usiombe iondolewe kabisa. Kama alikuwa achapwe viboko kumi akapunguziwe vikawa tisa sasa hapo umemsaidia niniR.I.P Ruge
Mwenyenzi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi! Pia akulipe sawasawa Na matendo yako , sisi sote ni wake Na kwake tutarejea
Sent from my Iphone using Tapatalk
Kwanini ipunguzwe na usiombe iondolewe kabisa. Kama alikuwa achapwe viboko kumi akapunguziwe vikawa tisa sasa hapo umemsaidia niniR.I.P Ruge
Mwenyenzi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi! Pia akulipe sawasawa Na matendo yako , sisi sote ni wake Na kwake tutarejea
Sent from my Iphone using Tapatalk
Si ni makaburi ya ukooAmewaza vizuri tu.Yawezekana tumemuelewa kila mmoja kwa namna yake.Kwa Afrika(Tanzania) anapofariki mtu mzima tunategemea azikwe kwake au eneo lake la nyumba.Namaanisha kwamba msiba upokewe nyumbani kwake na shughuli zote za msiba zifanyike hapo kwake.Sina uhakika kwamba makabila yote huamini na kufuata utaratibu huo.
Huwa tunategemea anayezikwa nyumbani kwa wazazi ni yule ambaye bado ni mtoto kiumri au yule ambaye kwa sababu maalumu atazikwa huko kwa wazazi.Ni jambo la kuelimishana tu.Hata hivyo taratibu za misiba na mazishi zinaweza kuwa zinatofaitiana kutoka jamii moja hadi nyingine.