TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Huyu hapa serial killer
IMG_20190301_130224.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askofu Gwajima amefika nyumbani kwa wazazi wa Ruge na kutoa salamu zake za rambirambi na kuwatia moyo wafiwa.
Askofu Gwajima anasema vifo huja kwa sababu mbalimbali lakini zilizo kuu ni umri kwenda na ile ya maisha kukatishwa na viumbe wengine wenye nia ovu.
Askofu ametolea mfano wa kifo cha Yesu ambacho hakikusababishwa na umri bali watu waovu.

Source Clouds tv!
Hahaha watu wenye nia ovu wapi wapi? Naomba mnisaidie kumtag daudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo cheusi mangala atuache jamani, anajiliza nini mnafiki mkubwa huyo?
Kuachana na Ruge sio kosa, ni mapenzi ambayo ni uamuzi wake binafsi.

Mimi tokea avujishe zile voice notes alinikera sana.
Ningekuwa mimi ndio Kemilembe ningemzibua vibaoooo [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums

Nahisi hata mie ningemshushia mabao ya haja ama ningemtimua na kumwambia aache watoto
 
Ruge Mutahaba ndio Muhaya maarufu zaid Ulimwenguni lakin tofauti Na watani zangu hao, hakuwa Mr Misifa

Ruge asingekuwa firm, Basi Makonda angegeuza Clouds Ni kipaza sauti chake

Sasa hivi atakuwa Na Mipaka lakin asingedhibitiwa Na Ruge Pengine tungekuwa Na Paul Makonda Hour Kama Hamza Kasongo hour Kule Channel ten
 
Askofu Gwajima amefika nyumbani kwa wazazi wa Ruge na kutoa salamu zake za rambirambi na kuwatia moyo wafiwa.
Askofu Gwajima anasema vifo huja kwa sababu mbalimbali lakini zilizo kuu ni umri kwenda na ile ya maisha kukatishwa na viumbe wengine wenye nia ovu.
Askofu ametolea mfano wa kifo cha Yesu ambacho hakikusababishwa na umri bali watu waovu.

Source Clouds tv!
Kaongea vema.

Watu wenye nia oveakama vile wao hawatakufa!
 
R.I.P Ruge

Mwenyenzi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi! Pia akulipe sawasawa Na matendo yako , sisi sote ni wake Na kwake tutarejea

Sent from my Iphone using Tapatalk
Kwanini ipunguzwe na usiombe iondolewe kabisa. Kama alikuwa achapwe viboko kumi akapunguziwe vikawa tisa sasa hapo umemsaidia nini
 
Amewaza vizuri tu.Yawezekana tumemuelewa kila mmoja kwa namna yake.Kwa Afrika(Tanzania) anapofariki mtu mzima tunategemea azikwe kwake au eneo lake la nyumba.Namaanisha kwamba msiba upokewe nyumbani kwake na shughuli zote za msiba zifanyike hapo kwake.Sina uhakika kwamba makabila yote huamini na kufuata utaratibu huo.
Huwa tunategemea anayezikwa nyumbani kwa wazazi ni yule ambaye bado ni mtoto kiumri au yule ambaye kwa sababu maalumu atazikwa huko kwa wazazi.Ni jambo la kuelimishana tu.Hata hivyo taratibu za misiba na mazishi zinaweza kuwa zinatofaitiana kutoka jamii moja hadi nyingine.
Si ni makaburi ya ukoo
 
Back
Top Bottom