TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Unatafutwa
Mi nimejifunza
1. Maisha ya duniani mafupi sana
2. Ukifa huna thamani tena
3. Kuwekeana mabifu ni kitu kibaya sana, jitahidi sana uwe peace na watu
4. Hela si kitu, ingawa ni lazima uwe nazo, usiondoe utu wa wenzako sababu ya pesa
5. Dunia ina watu wanafiki sana, mbunge anapigwa risasi viongozi wa juu hawatoi msaada, lakini wengine wanakufa watu wanatoa ndege, marehemu na alie hai nani ana thamani=UNAFIKI......... Infact ukifuata hoja namba 1-4, hotokua kama namba 5.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wachawi wanafiki ndiyo wanajifanya kuguswa sana na msiba
 
Sikumjua Ruge zaidi ya kumuona kwenye tv katika kipindi cha fursa,nimeumia na kifo chake,hakuna kitu kinauma kama mzazi amzike mtoto ila maumivu ya kuachwa Kwa unayempenda usiyapimie kabisa daah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Uchungu Makali kama kuzika Mwana, ndugu zangu kusikieni tu, Baba ameshindwa kuvumilia Kabisa, imebidi
Akitoe kilicho moyoni kwa Machozi maana hayasemeki mbele za watu Machungu hayo

Pole sana Prof Mutahaba, pole sana Baba mzazi wa Marehemu.

Picha hii imenitia Uchungu sana.

View attachment 1033389
Siwezi hata kuvaa viatu vya huyu baba jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu elimu elimuuuu tusubiri maziko kwanza ndio tufufue makaburi mtu hata tani 7 ajaziona mnamsimanga namna hiyo
 
51699236_406053510170292_5183239621063271174_n.jpg
 
Back
Top Bottom