Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hill li mjomba halinaga akili kabisaKuna watu wanadhani hekima anazozizungumza mjomba kwenye mashairi yake, basi hata kwenye maisha nje ya sanaa ndivyo alivyo, mnabet wandugu.
Kaja rais mstaafu na mkewe, waziri mkuu mstaafu na mkewe, naibu spika, rcz na dcz, dedz, wabunge na mawaziri, ceo's mbalimbali, wasanii kibao, mediaz rundo ziko msibani. Hao watajisikiaje kuona uwepo wao haujakuwa kamilifu mpaka aje fulani.
Acha zako mjomba, akija ndio iweje halafu, ungemtumia meseji au kumpigia simu ungepungua nini?
Mhaya maarufu duniani aliyewahi kutokea ni kardinali WA Kwanza mweusi duniani kuwahi kutokea ambaye aliishangaza dunia kufikia cheo hicho.Huyu kardinali anaitwa Lauren RugambwaRuge Mutahaba ndio Muhaya maarufu zaid Ulimwenguni lakin tofauti Na watani zangu hao, hakuwa Mr Misifa
Ruge asingekuwa firm, Basi Makonda angegeuza Clouds Ni kipaza sauti chake
Sasa hivi atakuwa Na Mipaka lakin asingedhibitiwa Na Ruge Pengine tungekuwa Na Paul Makonda Hour Kama Hamza Kasongo hour Kule Channel ten
Na wale ambao wapo mahabusu?Mhaya maarufu duniani aliyewahi kutokea ni kardinali WA Kwanza mweusi duniani kuwahi kutokea ambaye aliishangaza dunia kufikia cheo hicho.Huyu kardinali anaitwa Lauren Rugambwa
Pia wahaya wengine maarufu ni sir George kahama ambaye alipewa usir na Queen Elizabeth WA uingereza na hakuna mtz mwenye cheo kama hicho
Muhaya mwingine maarufu ulimwenguni ni Justinian Rweye
Sent using Jamii Forums mobile app
elimu ya dini hiyo mkuu kwani dini yako inasemaje mtu akifa nini huendelea kuanzia kaburini hadi ufufuoAdhabu ya kaburi ikoje?
can you proveMhhhh nikifikiria idadi ya chupi alizowavua wasichana pale clouds walah napata uchungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sina dini. Naamini ukishadedi biashara imeisha. Nipe basi elimu ya dini yako kuhusu adhabu ya kaburi naweza kushawishika nikajiunga...elimu ya dini hiyo mkuu kwani dini yako inasemaje mtu akifa nini huendelea kuanzia kaburini hadi ufufuo
Na kuna watu wanalia ki uwongo kabsa yan ili wapate kik kwamba nao wamoooHv ni technology au kukosa maarifa..?
Watu wanatumia msiba kupata followers na likes tu..!
Deep inside hakuna uchungu wala chochote wanachofeel kweny msiba wa ruge..!
You tubers wametaradadi na maswali yale yale yasiyo kuwa na chembe ya unprofessional wa habari masawali yao ni "unazungumziaje diamond hajaja kwenye msiba "? Watu wanajiuliz mbona umechelewa kupost.???
Kwanini tuhukumiane kweny msiba..?
Wanaosema diamond ana roho mbaya hapost je wao watapost nin akifa akat sas hv wanamchukia..??
nimeshangaa mrisho mpoto nae et anamuhimiza diamond aende kweny msiba, I'm like seriously..?
Wanajua diamond anawaza nini sas hv.. What if alikuwa anapanga aende BUKOBA..? what if alikuw anataka aende kupokea kesho airport..?
And by the way who's diamond mpka watu waoneshwe kukerw kwanini hapost..? Au kwann haendi msibani.. Mbna jide hashambuliwi..?
Kinachotakiwa hapa ni KUMUOMBEA NDUGU YETU RUGEMARILA apumzike kwa amani... We both have struggles in life like who are you to judge???
Binafs sipendi drama za misibani.. mtu azikwe ndo mambo mengine yaendelee na huo ndo utanzania..!
Maya your soul rest in peace.. RUGE MUTAHABA.. You will always be remembered.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemjibu vizuriMtutue banaaaa. Mnatusakama sana.
Sio sifa. Tunajiamin. Hutaki unaach
Kutojiamin kwenu kunawafanya mtuone tuna misifa, tunaringa.
Hivi nikiringa au nikiwa na misifa nakupunguzia nini?.
Kama wahaya wanaringa- waganda, wanyaru, wanigeria wanafanyeje?.
Bado kuna wengi Sana maarufu tofauti na hao
Achana nao wachafu waliojua Kuoga kupitia Ruge.. Acha tumhifadhi mpendwa wetu Maisha yaendelee.Tuseme.kweli hakuna kijana alokuwa anawasaidia wenzake kama Ruge,
Akina diamond muda huu wanajifanya hawakupata mchango wowote kwake lakin Mungu ndo anajua
Kama unajiweza kwa nini ugawane na Mtu.. Kula peke yako.Mie simsaidii msanii ila nanunua kazi zao na kulipia kiingilio maonyesho yao. Hivi unadhani mtu mwenye kipaji anasaidiwa au watu wanagawana nae mapato ya kipaji chake? jibu ilo kwanza
AminaAchana nao wachafu waliojua Kuoga kupitia Ruge.. Acha tumhifadhi mpendwa wetu Maisha yaendelee.
R. Ï. P Ruge
Jay dee aliongea akiwa ameshatoboa ndio akasema..Lady Jaydee aliwaambia kama bila wao asingekua msanii mkubwa wawachukue dada zao waimbe nao wawe maarufu
Sent using Jamii Forums mobilapp
Samahani naitaji kujuzwa marehemu alikuwa na familia??i mean mke na watoto!??[emoji22]Kama mnavyojua Ruge Mutahaba ni mtoto wa Profesa Mutahaba wa Bukoba Vijijini, Tarafa ya Kiamutwara, Kata Karabagaine ,Kijiji Kabale, Kitongoji Kiziru -Muzira mbogo, Muhabarishaji yuko huko anatutumia updates moja kwa moja tunaweka hapa
Kwa wanaokaa maeneo ya Bukoba,
Eelekeo wa mazishi yatakapofanyika nyumbani kwao Mutahaba kama watokea mjini, Ni Barabara ya kibeta kama waelekea Muleba, ukifika Magoti Km 3 kutoka Bukoba mjini utakutana na Kibao cha Gereza Rwamulumba, unapita Itahwa, Karabagaine ndo unafika kabale/kiziru kwa mzee Mutahaba, ni km 8 kutoka bukoba mjini,
Wadau mbali mbali wa maeneo yanayopakana na mazishi yatakapofanyika wameshaanza kukusanyika wakitokea
Nsisha, Kangabushro, Itahwa, Magoti,Kitwe, Katoma,Itahwa na Rwamulumba ,
Maoni ya watu waliowengi wanasema kwamba ni kweli jamaa alikuwa maarufu ila hawakujua kama ni wa maeneo hayo, kwasababu ukilinganisha jina lake na maendeleo ya eneo lile ni kama vile hakutenda haki, japokuwa wanasahau kwamba Ruge alikuwa ni mtu wa masuala ya burudani tu na mtu mmoja hawei kuleta maendeleo ya wilaya nzima isipokuwa wa kulaumiwa kama kuna ishu ya kulaumu ni Mzee Mutahaba mwenyewe na maprofesa wanaomzunguka,
Kwa haraha haraka pale kuna maprofesa si chini ya wanne, kuna mabalozi waliowahi kuwa mabalozi na walioko ubalozini kama mabalozi sasa si chini ya watano,
Kuna watu wengi sana ambao kwa pamoja wangeweza kushirikiana kuleta kinachostahili,
kwa Bahati mbaya aliyesema hivyo ni kwa mshtuko wa kuona kumbe mtoto wa Mutahaba ni maarufu vile lakin kwa haraka haraka maendeleo wanayo japokuwa binadamu huwa hawaridhiki na kuna slogan imeshajengeka kwamba wahaya wanajenga kwingine siyo kwao,,
SALAAMU ZA RAMBI RAMBI TOKA KWA MKUU WA MKOA WA KAGERA KWENDA KWA FAMILIA YA MUTAHABA
View attachment 1034970
Maandalizi ya Nyumba ya Milele ya Marehemu Ruge Mutahaba
View attachment 1034972
View attachment 1034974
TAIFA LIMEPOTEZA MOJAWAPO YA VIJANA WAPAMBANAJI
UPDATES
HABARI: Msemaji wa familia ya Mutahaba, Kashasha amesema Rais John Magufuli ametoa ndege kwa ajili ya kusafirisha mwili wa Ruge Mutahaba na waombolezaji siku ya Jumapili kwenda Bukoba atapozikwa-MCL
MKUU WA MKOA AWASILI MSIBANI NA KUKUTANA NA KAMATI YA MSIBA
View attachment 1035142
Hapo Ni Mmiliki wa Shule ya Josiah Grils Bwana Ruga Masabala akisalimiana na Afande alifika Msibani
View attachment 1035143
Mwonekano wa Juu wa Nyumbani kijijini kwa Ruge Mutahaba
View attachment 1035144View attachment 1035144
Namuona makondaOoooh Parapanda italiiiaaa parapandaaaView attachment 1035309View attachment 1035310View attachment 1035311