TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hill li mjomba halinaga akili kabisa
 
Mhaya maarufu duniani aliyewahi kutokea ni kardinali WA Kwanza mweusi duniani kuwahi kutokea ambaye aliishangaza dunia kufikia cheo hicho.Huyu kardinali anaitwa Lauren Rugambwa

Pia wahaya wengine maarufu ni sir George kahama ambaye alipewa usir na Queen Elizabeth WA uingereza na hakuna mtz mwenye cheo kama hicho

Muhaya mwingine maarufu ulimwenguni ni Justinian Rweye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wale ambao wapo mahabusu?
Malinzi na Rugemalila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
elimu ya dini hiyo mkuu kwani dini yako inasemaje mtu akifa nini huendelea kuanzia kaburini hadi ufufuo
Mi sina dini. Naamini ukishadedi biashara imeisha. Nipe basi elimu ya dini yako kuhusu adhabu ya kaburi naweza kushawishika nikajiunga...
 
Na kuna watu wanalia ki uwongo kabsa yan ili wapate kik kwamba nao wamooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemjibu vizuri

Kuna watu wakisikia kabila la wahaya wanaumwa na kuteseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuseme.kweli hakuna kijana alokuwa anawasaidia wenzake kama Ruge,

Akina diamond muda huu wanajifanya hawakupata mchango wowote kwake lakin Mungu ndo anajua
Achana nao wachafu waliojua Kuoga kupitia Ruge.. Acha tumhifadhi mpendwa wetu Maisha yaendelee.

R. Ï. P Ruge
 
Mie simsaidii msanii ila nanunua kazi zao na kulipia kiingilio maonyesho yao. Hivi unadhani mtu mwenye kipaji anasaidiwa au watu wanagawana nae mapato ya kipaji chake? jibu ilo kwanza
Kama unajiweza kwa nini ugawane na Mtu.. Kula peke yako.

Majivuno ya kishamba sana
 
Lady Jaydee aliwaambia kama bila wao asingekua msanii mkubwa wawachukue dada zao waimbe nao wawe maarufu

Sent using Jamii Forums mobilapp
Jay dee aliongea akiwa ameshatoboa ndio akasema..
Yote kwa Yote" haiondoi kazi waliyofanya na wanayoendelea kuifanya Clous Media kwenye Muziki wa Tanzania.
 
Samahani naitaji kujuzwa marehemu alikuwa na familia??i mean mke na watoto!??[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…