Hamna uhusiano wowote hapo, kifo kina siri kubwa.Ila huyu M-dada, huku Usukumani watu wa hivyo tunawaita ni akina MWANABHYULA! Maanake wanaona mbali! Ni kama alijua ule mti aliokuwa ametua, umeanza kuoza mizizi, na unaweza kuanguka wakati wowote, akaamua kuuruka, na kutua kwenye mti mwingine!
Big-up Zama!
Na hilo nalo kweli ni LA kujadili?!?!,ni suala LA familia hata kama wasingetangaza KBS,wakamzika kimyakimya!,ni juu yao kama ulichangia ni tenda wema SEPA!Mimi binafsi hua nina questioning mind, hua sikubaliani na kila ninachoambiwa bila kujiuliza.
Kwa maelezo ya mwana familia, Ruge alifariki majira ya sa kumi jioni siku ya juzi tarehe 26.2.2019 huko kwa Mzee Mandela.
Katika hali ya kawaida najua watu wa kwanza kujua habari ya kifo ni wanafamilia pamoja na ndugu na marafiki wa karbu mapema kabisa baada ya mpendwa wao kuwatoka. Hili la Ruge limekua tofauti, baada ya kupita takribani masaa 4 baada ya kifo, taarifa ya kifo imekuja kutolewa kwa hadhara na Mheshimiwa Rais.
Najiuliza tu, ilikuaje rais ndio akawa mtu wa kwanza kuujulisha umma kifo cha Ruge. Hakuna asiejua kua Ruge ni mtu maarufu ila hakua kiongozi wa kisiasa.
Najiuliza tu.
Ni watu wa CCM, nothing else! aliwaimbia 2015, ndilo hilo tu!hivi unataka nchi itikisike vipi,? kila mkoa wanafuatilia , kila kiongozi na kila kiongozi mkuu unayewajibika kwake kafika, kila kiongozi wa ngazi yeyote kafika, mbaya zaid hata mgombea wako wa urais mwaka 2015 kafika cc instanbul
Aliyekaribu na pugi mwambieni aache dharau khaa si angeitoa miwani wakati wa kusalimiana na Mzee Mutahaba. Miwani yenyewe fekiView attachment 1034795mtoto wa kina IKIRIRI kichwa wazi msibaniView attachment 1034796
🤔🤔🤔Wewe ulitaka hiyo hiyo saa kumi upewe taarifa. Very stupid
Nahisi hata mie ningemshushia mabao ya haja ama ningemtimua na kumwambia aache watoto
Nakapendaga haka kajinga Hamisa ila jana alizingua. Huwezi kumpa mkono mzee aliyefiwa na mwanae na sunglasses kama anampa ‘shabiki’ wake aliyehudhuria show zake uchwara.
Amekosa adabu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila anaona aibu ujue? Hathubutu hata kujiweka mbelembele kama kawaida yake.
Ila ndio angekuwa nae hadi anakufa jamani tungemkomaje chausiku? Uwiiiiiiii tungejutaaaaa
Magazeti mwaka mzima!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Afadhali umejitokeza na kusema ukweli kuanzia leo acha niwe shabiki wako haunaga kaunafiki. Hii comment nimeipenda. Angekua mwingine angenisunta balaa na kuniita hater
Hapo anaficha makucha subiri mahesabu yake ya urithi yasitimie lazima atashusha magazeti ya lawama
Pia kule kunyenyekewa na wasanii pamoja na WCB kutaisha maana aliyekua anampa jeuri town ndo huyo keshapumzika
Asante Numbisa dear [emoji8][emoji1488]
Ujue kuna jambo tulikuwa tunabishana juzi, hivi pale ambako msiba ulipo ni kwa wazazi wa marehemu au ni kwa marehemu? Naona uko well informed unaweza kunitoa tongotongo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi magazeti yake nilishayachoka hadi huwa sisomi tena kumbe napitwa na mengi mwenzangu! Nasikia marehemu alipopelekwa India alishusha gazeti la mafumbo design kama alikuwa anashangilia hivi!
Halafu umenikumbusha point ya muhimu sana. Sio WCB tu, hata watu wa kawaida walikuwa wanamuogopa sababu ya Ruge. Nae alikuwa analijua hilo basi weeeee. Sasa hivi mbona atakoma?
Yule mumewe nyoka wa PM ikiisha awamu hii hana jipya mjini, wambea tunaandaa popcorn maana kipindi hicho magazeti yake yatakuwa motomoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zama ni mvumilivu sana!Msiba upo kwa wazazi.Marehemu alikua anaishi masaki. Kwa vile kijana hajaoa na hakuna wa kupokea wageni hivyo ni jukumu la wazazi kusimamia kila kitu.
Zama ni mvumilivu sana!
Ila alikosea mahesabu kidogo tu!
Angekuwa anaitwa mjane wa marehemu sasa....
Sent using Jamii Forums mobile app
mmeshaanza masimango. kwa sababu Diamond anapesa baaasi,tulimsaidia huyo platnamus ni juhudi zake, ila ktk kupanda utakutana na watu tu.wengine watakupa kulala, kula, kunywa,mavazi nkTuseme.kweli hakuna kijana alokuwa anawasaidia wenzake kama Ruge,
Akina diamond muda huu wanajifanya hawakupata mchango wowote kwake lakin Mungu ndo anajua