TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Ila huyu M-dada, huku Usukumani watu wa hivyo tunawaita ni akina MWANABHYULA! Maanake wanaona mbali! Ni kama alijua ule mti aliokuwa ametua, umeanza kuoza mizizi, na unaweza kuanguka wakati wowote, akaamua kuuruka, na kutua kwenye mti mwingine!
Big-up Zama!
Hamna uhusiano wowote hapo, kifo kina siri kubwa.
 
Mimi binafsi hua nina questioning mind, hua sikubaliani na kila ninachoambiwa bila kujiuliza.

Kwa maelezo ya mwana familia, Ruge alifariki majira ya sa kumi jioni siku ya juzi tarehe 26.2.2019 huko kwa Mzee Mandela.

Katika hali ya kawaida najua watu wa kwanza kujua habari ya kifo ni wanafamilia pamoja na ndugu na marafiki wa karbu mapema kabisa baada ya mpendwa wao kuwatoka. Hili la Ruge limekua tofauti, baada ya kupita takribani masaa 4 baada ya kifo, taarifa ya kifo imekuja kutolewa kwa hadhara na Mheshimiwa Rais.

Najiuliza tu, ilikuaje rais ndio akawa mtu wa kwanza kuujulisha umma kifo cha Ruge. Hakuna asiejua kua Ruge ni mtu maarufu ila hakua kiongozi wa kisiasa.

Najiuliza tu.
Na hilo nalo kweli ni LA kujadili?!?!,ni suala LA familia hata kama wasingetangaza KBS,wakamzika kimyakimya!,ni juu yao kama ulichangia ni tenda wema SEPA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekaribu na pugi mwambieni aache dharau khaa si angeitoa miwani wakati wa kusalimiana na Mzee Mutahaba. Miwani yenyewe fekiView attachment 1034795mtoto wa kina IKIRIRI kichwa wazi msibaniView attachment 1034796

Nakapendaga haka kajinga Hamisa ila jana alizingua. Huwezi kumpa mkono mzee aliyefiwa na mwanae na sunglasses kama anampa ‘shabiki’ wake aliyehudhuria show zake uchwara.

Amekosa adabu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nahisi hata mie ningemshushia mabao ya haja ama ningemtimua na kumwambia aache watoto

Ila anaona aibu ujue? Hathubutu hata kujiweka mbelembele kama kawaida yake.

Ila ndio angekuwa nae hadi anakufa jamani tungemkomaje chausiku? Uwiiiiiiii tungejutaaaaa
Magazeti mwaka mzima!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Afadhali umejitokeza na kusema ukweli kuanzia leo acha niwe shabiki wako haunaga kaunafiki. Hii comment nimeipenda. Angekua mwingine angenisunta balaa na kuniita hater
Nakapendaga haka kajinga Hamisa ila jana alizingua. Huwezi kumpa mkono mzee aliyefiwa na mwanae na sunglasses kama anampa ‘shabiki’ wake aliyehudhuria show zake uchwara.

Amekosa adabu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo anaficha makucha subiri mahesabu yake ya urithi yasitimie lazima atashusha magazeti ya lawama

Pia kule kunyenyekewa na wasanii pamoja na WCB kutaisha maana aliyekua anampa jeuri town ndo huyo keshapumzika
Ila anaona aibu ujue? Hathubutu hata kujiweka mbelembele kama kawaida yake.

Ila ndio angekuwa nae hadi anakufa jamani tungemkomaje chausiku? Uwiiiiiiii tungejutaaaaa
Magazeti mwaka mzima!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Afadhali umejitokeza na kusema ukweli kuanzia leo acha niwe shabiki wako haunaga kaunafiki. Hii comment nimeipenda. Angekua mwingine angenisunta balaa na kuniita hater

Asante Numbisa dear [emoji8][emoji1488]

Ujue kuna jambo tulikuwa tunabishana juzi, hivi pale ambako msiba ulipo ni kwa wazazi wa marehemu au ni kwa marehemu? Naona uko well informed unaweza kunitoa tongotongo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo anaficha makucha subiri mahesabu yake ya urithi yasitimie lazima atashusha magazeti ya lawama

Pia kule kunyenyekewa na wasanii pamoja na WCB kutaisha maana aliyekua anampa jeuri town ndo huyo keshapumzika

Mimi magazeti yake nilishayachoka hadi huwa sisomi tena kumbe napitwa na mengi mwenzangu! Nasikia marehemu alipopelekwa India alishusha gazeti la mafumbo design kama alikuwa anashangilia hivi!

Halafu umenikumbusha point ya muhimu sana. Sio WCB tu, hata watu wa kawaida walikuwa wanamuogopa sababu ya Ruge. Nae alikuwa analijua hilo basi weeeee. Sasa hivi mbona atakoma?
Yule mumewe nyoka wa PM ikiisha awamu hii hana jipya mjini, wambea tunaandaa popcorn maana kipindi hicho magazeti yake yatakuwa motomoto [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Msiba upo kwa wazazi.Marehemu alikua anaishi masaki. Kwa vile kijana hajaoa na hakuna wa kupokea wageni hivyo ni jukumu la wazazi kusimamia kila kitu.
Asante Numbisa dear [emoji8][emoji1488]

Ujue kuna jambo tulikuwa tunabishana juzi, hivi pale ambako msiba ulipo ni kwa wazazi wa marehemu au ni kwa marehemu? Naona uko well informed unaweza kunitoa tongotongo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Familia ya Ruge ipo imara sana,yaani haiyumbishwi kama ya kanumba hivyo bibie pale kagonga pabaya hapo wanamvumilia tu msiba uishe bila maneno maneno

Bifu lake na Ruge alilipeleka pabaya na vile mbaba wa watu hanaga vita vya wazi wazi basi kakaibuka kashindi na kujitapa mitandaoni. Kuumwa kwa Ruge alifurahi sana(kwa style ya bila mie utakoma) basi tu alishindwa weka bayana.

Wahenga wanasema kutesa kwa zamu,sasa ni zamu yake kusota maana mario kazi keshamaliza PM lazima atajiweka mbali nae hana faida tena
Mimi magazeti yake nilishayachoka hadi huwa sisomi tena kumbe napitwa na mengi mwenzangu! Nasikia marehemu alipopelekwa India alishusha gazeti la mafumbo design kama alikuwa anashangilia hivi!

Halafu umenikumbusha point ya muhimu sana. Sio WCB tu, hata watu wa kawaida walikuwa wanamuogopa sababu ya Ruge. Nae alikuwa analijua hilo basi weeeee. Sasa hivi mbona atakoma?
Yule mumewe nyoka wa PM ikiisha awamu hii hana jipya mjini, wambea tunaandaa popcorn maana kipindi hicho magazeti yake yatakuwa motomoto [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
51899647_1267802636718522_3378874555482682806_n.jpg
52268850_827370917604166_2228199632352151523_n.jpg
52080741_548668028951781_7323297973312387691_n.jpg
Mwili Wa Ruge Mutahaba Ukiwa Unaondoka Clouds Media Jioni Hii
 
Tuseme.kweli hakuna kijana alokuwa anawasaidia wenzake kama Ruge,

Akina diamond muda huu wanajifanya hawakupata mchango wowote kwake lakin Mungu ndo anajua
mmeshaanza masimango. kwa sababu Diamond anapesa baaasi,tulimsaidia huyo platnamus ni juhudi zake, ila ktk kupanda utakutana na watu tu.wengine watakupa kulala, kula, kunywa,mavazi nk
 
Back
Top Bottom