TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Huko huko Bukoba kuna baadhi ya familia makaburi yameshajengwa na watu wako nchi tofauti wakiendelea na shughuli zao, mtu akirudi kwao kusalimia anaona kaburi atakalozikiwa na maisha yanaendelea kama kawaida.
hahaha
 
Shoga nkupe umbea Zama naskia kalia mpk kugaragara sebuleni huko msibani[emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]nimechekaaa Mimi acha kabisaa!nkasema kaah!unaafiki hautuishi wabongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini umeuita unafiki? Yule ni mzazi mwenzie maana yake watoto wake wanabaki bila baba ni halali kabisa kuwa na uchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani ungeangalia upande tunaoangalia sie ungeelewa. Hao wawili dini zilikua tofauti na sababu kadhaa hivyo kwa miaka karibia 9 na kitu ndoa hakuna dalili na bibie shida yake ilikua ndoa ndo maana bwana mpya alipojitokeza fasta ndoa ikafungwa
Numbisa huwezi kuwa serious, mbona deile tunaona watu wanaoana hivyo yaani mtu akishatoa mahari tu anachukua tu mwamke wake anaweka ndani na hivi amezaa angekuwa mjane wa marehemu kwa herufi kubwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Wachagga watabaki kuwa Wachagga....kwenye swala la kuendeleza nyumbani Wachagga tumepiga hatua mno...

Jamaa na pesa zote hizo kashindwa jenga kwao...?
Kwani hapajajengwa kwao? We vip ? Hebu tazama hicho kijiji na nyumba za majirani.kama unaweza kuviona vijiji kama hivyo pengine.yaani nyie mnapenda ligi na wahaya sijui mna nini?
Ndo hiyo kuna mda mnajiona inferior mbele ya wahaya ndo maana hamuishi kujisifia ili muaminishe umma kuwa mpo juu ya kila watu katika nchii hii
tapatalk_1551450320176.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitaka ajenge ghorofa labda

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga wanavyoviongea huwa na washangaa kama vile moshi hatupafahamu.Yaani wana inferiority Fulani mbele ya wahaya yaana huwezi kuta mchaga anamsifia muhaya hata kidogo huwa wanatafuta weekness Kwa wahaya ili waonekane wao ni Bora zaidi ya kila mtu Tanzania.

Nyumba kama hii mbona nzr Kwa maisha ya kibongo
DSC_0894.JPG
DSC_0773.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom