britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
hahahaHuko huko Bukoba kuna baadhi ya familia makaburi yameshajengwa na watu wako nchi tofauti wakiendelea na shughuli zao, mtu akirudi kwao kusalimia anaona kaburi atakalozikiwa na maisha yanaendelea kama kawaida.