TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kuigaiga, Ulaya ni ulaya tu kivyaovyao .sisi Wabantu ni wabantu tu ki vyetu. hata-ukiiga vipi hawatakupenda... watakuona nyani tu usiye na akili, watakutenga hata kwenye ibada zao. hawakutaki wee unajua mambo yao ambapo pia hawataki. hivi ulisha endaga huko?
 
Mkuu wa mkoa amefika eneo la tukio na kuwafariji wafiwa, na pili kukutana na wazee wa kamati ya msiba na mazishi inayoongozwa na Profesa Kazimoto,

Kawahakikishia ulinzi wa kutosha maeneo hayo,

Pamoja na kwamba Ni kijijini lakin mwamko umekuwa mkubwa mno,

Mpaka sasa wameshafika watu wa kulala eneo la tukio zaid ya 200 suala ambalo linaleta mkanganyiko kwamba kama wa kulala ni hawa je hapo kesho mpaka jumatatu itakuwaje,

Aidha mzee Masabala na Jamal Kalumuna wamesimama shughuli yote kwa umakini,
Kuhakikisha hakuna jambo linaloenda vibaya,

Kwa taarifa zisizo rasmi ni kwamba kila atakaye udhuria atapewa huduma kama malazi na kula,

Majirani wameomba kwamba shule ya sekondari na ya msingi kabale zilizo karibu na Kwa mzee mutahaba zitumike kwa ajili ya watu watakaotoka mbali,

Maana vijiji vinavyozunguka eneo husika vinatarajiwa kuwa na wawakilishi,

Kuanzia
Kabale yenyewe, Kitwe, Rwakagongo, Kasheya, Itahwa ,magoti, Maruku, Bwara, Kagondo, Kagege

Hao wote wanategemewa kuwa na wawakilishi,

Pia vijana wamemuomba mwakilishi kwa Clouds FM kwamba wafunge mitambo ya kuonesha matukio moja kwa moja kutoka Bukoba, alafu wananchi wa Bukoba mjini wapunguze msongamano eneo la tukio badala yake waende viwanja vya Gymkhana-Bukoba, na Kaitaba,
Hii itapunguza msongamano wa magari na watu,

Aidha wasanii mbali mbali wanatarajiwa kufika eneo husika, na watu maarufu wakiwemo viongozi wa kitaifa

Ulale salama kaka Ruge

Chanzo nipo eneo la tukio,
Nipo na mwakilishi wa Clouds FM, wa Ayo tv na global TV

 
Huko huko Bukoba kuna baadhi ya familia makaburi yameshajengwa na watu wako nchi tofauti wakiendelea na shughuli zao, mtu akirudi kwao kusalimia anaona kaburi atakalozikiwa na maisha yanaendelea kama kawaida.
 
Si unataka tusiuge au sio?
Basi usitake tuige mila ya kwenu ya kutochimba kaburi kabla ya siku ya kuzika.

Kwetu hatudhuriki kutofuata mila hiyo.

Kuna sehemu huko Kagera watu wanachimba makaburi yao na kuyajengea wakati wao wapo mbali na huko na yanakaa miaka kuwasubiri wakifa.
 
Angekua na mke na watoto nyumbani nadhani ungefikia kwake

Wale mnaosema alikua kapanga mumkomee..marehemu alikua na mali za kutosha...
Mojawapo nlionyeshwa jumba moja Mbezi Beach pale mengine sijui


Mungu amrehemu..he lived for others..Amen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!!!mwenyewe ningemtimua kama mbwa koko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why kumzika.Bukoba wakati amezaliwa New York amekulia DSM?
 
Ila anaona aibu ujue? Hathubutu hata kujiweka mbelembele kama kawaida yake.

Ila ndio angekuwa nae hadi anakufa jamani tungemkomaje chausiku? Uwiiiiiiii tungejutaaaaa
Magazeti mwaka mzima!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nifah una visa weweee!!!magazeti kama yote!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imenishangaza sana kwa kweli wahaya wameanza ujenzi wa kaburi leo mazishi siku tatu zijazo mbona mapema sana au litakuwa la ghorofa? au litakuwa lina underground
Nadhani taratibu zinatofautiana kuna sehwmu huwezi kuchimba kaburi na likalala bila kitu! Inatakiwa uchimbe na kuzika siku hiyo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…