TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Shoga unajua kama Zama huwa hanyonyeshi watoto? Sababu unaijua? Mahaba yasikupotoshe dear, kwahili tumsitiri sio vizuri kujadili afya za watu.
Umbea mwingine tuuseme ila la afya yake tuache wapendwa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nifah...

Nani shoga?

Ngoja niondoke ishakuwa taabu tena...

Nnamchi nnatwanga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kunichekesha mkuu ONTARIO kwa sasa tupo naye instargramm mkuu anatoa nondo kama zote awali alikuwa akitumia kiingereza kutuma jumbe zake watu tulimmaindu asitunie kiingereza tumia kiswahili, Na sasa karudi na Forex trade uko IG.Na anawapata watu.Ila sijajua hatima yao hadi sasa huwa na mstiri tu huyo ONTARIO uko IG aendelee kutapeli,Siku ikinifika tu nitaumbua MTU uko IG.
 
Mi sina dini. Naamini ukishadedi biashara imeisha. Nipe basi elimu ya dini yako kuhusu adhabu ya kaburi naweza kushawishika nikajiunga...
hahaa drug unakana dini yako leo mungu wako anakuona ila kwa wale wenye kuamini tunaamini kuna maisha baada ya kifo je maisha hayo yakoje hiyo elimu ni pana sana ndugu drug hapa hapatoshi may be nianzishe uzi then nikutag my dear. napenda watu wanaotaka kujifunza kama wewe.
 
Ruge alipokuwa hai alimfanyia kila aina ya ubaya, leo anatokwa jasho akijifanya kaguswa na msiba.

Jana muda wote aliyafunika macho yake na miwani mieusi ili tusiweze kung'amua unafiki wake.

Karma is a bitch..let's wait.
 
Hivi sasa Wasafi tv wako live (mubashara) kwenye ukumbi wa karimjee kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi vya clouds.
.
Sasa wale ndugu zangu ambao mna chuki na Diamond Platnumz mliokuwa mkimsema kuwa hajaguswa na lolote semeni tena
 
Ni kwasababu hawana utaratibu wa kurudi makwao...

Ila ni aibu sana
Aliekwambia hawana utaratibu wa kurudi kwao Nani? Kumbuka Ruge mwaka mpya 2018 na Christmas 2017 amesherehekea akiwa huko bukoba.

Na kadri ya ndugu zake huwa anaenda mara Kwa mara fuatilia Millard Ayo .msifikirie utaratibu wa kwenda nyumbani huko uchagani Tu.useme nyie mnamda mmoja Tu WA kwenda nyumbani mwezi wa kumi na mbili tu.ila wahaya ni tofauti wao huenda mda wowote ndo maana abiria wa kwenda bukoba ni wengi mno na mabasi yamejazana Tu kila kukicha.pia kuna picha za Ruge akiwa kijijini kwao hapo ni nyumbani Kwa ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…