Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale hajafata pesa ...labda kapenda kweli... au ilikuwa kumkomoa..mkaka...Thubutuuuuu! Nyoka wake wa kutumwa tumwa tu hana lolote. PM mwenyewe next term hana uhakika wa kurudi hapo ndipo mambo yatakapokuwa mambo!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nifah...Shoga unajua kama Zama huwa hanyonyeshi watoto? Sababu unaijua? Mahaba yasikupotoshe dear, kwahili tumsitiri sio vizuri kujadili afya za watu.
Umbea mwingine tuuseme ila la afya yake tuache wapendwa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wataelewa vizuri wakiambiwa sababu!Alimvua nguo ndio lakini hata yeye alijivua na ile kitu tayari imeshakuja public hata miaka 20 ijayo akina Shubi watakutana nayo hivi unadhani watamuelewaje mama yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kunichekesha mkuu ONTARIO kwa sasa tupo naye instargramm mkuu anatoa nondo kama zote awali alikuwa akitumia kiingereza kutuma jumbe zake watu tulimmaindu asitunie kiingereza tumia kiswahili, Na sasa karudi na Forex trade uko IG.Na anawapata watu.Ila sijajua hatima yao hadi sasa huwa na mstiri tu huyo ONTARIO uko IG aendelee kutapeli,Siku ikinifika tu nitaumbua MTU uko IG.Yaani wewe secretary wa TMT unamuita Zamaradi hajielewi??? Tena kazi yenyewe uliipata kwa sababu ya kupigwa mambo na bwana wako The Bold ambae ana Urafiki na Ontario.
Na tena mkaishia kutapeli watu na JP Market yenu. Hiyo ndio akili kubwa mliyonayo , sio !!!
Nimeanza kuamini mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa drug unakana dini yako leo mungu wako anakuona ila kwa wale wenye kuamini tunaamini kuna maisha baada ya kifo je maisha hayo yakoje hiyo elimu ni pana sana ndugu drug hapa hapatoshi may be nianzishe uzi then nikutag my dear. napenda watu wanaotaka kujifunza kama wewe.Mi sina dini. Naamini ukishadedi biashara imeisha. Nipe basi elimu ya dini yako kuhusu adhabu ya kaburi naweza kushawishika nikajiunga...
Na leo yupo mbele kifront pale Karimjee Hall.Nilimuona. Alivaa gauni ,angalau afiche lijishepu lake lile
Aliekwambia hawana utaratibu wa kurudi kwao Nani? Kumbuka Ruge mwaka mpya 2018 na Christmas 2017 amesherehekea akiwa huko bukoba.Ni kwasababu hawana utaratibu wa kurudi makwao...
Ila ni aibu sana
nani huyoNilimuona. Alivaa gauni ,angalau afiche lijishepu lake lile
Wamelazimisha kweli?!Clouds wana nguvu sana.
Wamelazimisha hii kitu iwe ya kitaifa.