IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
No mimi nimesikia kupitia kipindi cha Millard Ayo Kabla ya saa mbili akisema wsnakatisha matangazo Kutokana na taarifa za msiba...
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu ITV Walikuwa wa kwanza kutangaza taarifa ya msiba kabla ya clouds kulikuwa na nini
Sent using Jamii Forums mobile app