TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mbona wanasema Nandi alipokuwa na mimba alipima ngwengwe pia. Akakutwa kishaungua ndo akaamua kutoa na mimba. Tena kipindi hicho marehemu ndo kaanza kuugua. Nadhani alikuwa kishatoka India.

Hata mimi nilisikia mwenzangu! Alipost Milly kwa code [emoji23][emoji23][emoji23]
Billnass alipanic maana watu walianza kumtania kaungua akaenda kupima hadi akaweka majibu ya vipimo insta.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kuna mmoja alielezea mambo ya marehemu chumbani, alifungukaga balaa umuwahi kukutana na hiyo screenshot?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ile ya maneno matamu? Hahaaaaa
Mpendwa wetu nae alikuwa mpanaaaa! Akamdatisha Feza masikini akamvisha hadi pete! Feza alipokuja kuachwa hakuamini hadi leo kawa msagaji huru!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa Dina ilikuwaje tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu alisababisha Dina asirudishwe kazini. Juzi ndo nilishangaa kumbe Zama aliunganishwa kwa Ruge na babu tale. Zama mwenyewe alisema kwenye ile interview clouds 360.Wivu tu akamchongea Dina. Zama mswahili na alimtumia marehemu kama daraja tu,sema hakutaka na wenzake kina Dina waendelee pia. May be aliogopa Dina angempokonya Ruge.
 
Hata mimi nilisikia mwenzangu! Alipost Milly kwa code [emoji23][emoji23][emoji23]
Billnass alipanic maana watu walianza kumtania kaungua akaenda kupima hadi akaweka majibu ya vipimo insta.

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nilisikia mwenzangu! Alipost Milly kwa code [emoji23][emoji23][emoji23]
Billnass alipanic maana watu walianza kumtania kaungua akaenda kupima hadi akaweka majibu ya vipimo insta.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivyo results za insta wala usiziamini. Mtu anaweza kupost ili kuifanya jamii isimfikirie kivingine.
 
Acha tu alisababisha Dina asirudishwe kazini. Juzi ndo nilishangaa kumbe Zama aliunganishwa kwa Ruge na babu tale. Zama mwenyewe alisema kwenye ile interview clouds 360.Wivu tu akamchongea Dina. Zama mswahili na alimtumia marehemu kama daraja tu,sema hakutaka na wenzake kina Dina waendelee pia. May be aliogopa Dina angempokonya Ruge.
Asante madame ila nataka kujua kisa kilikuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsahau jina halafu baada ya kujifungua akawa wa kwanza kulalamika kutelekezwa

Vipi Ray C nae hukuona au hukujua mapenzi yao mubashara?
Hivi mnakumbuka ile birthday ya mpendwa wetu aliyetangulia nadhani ilikuwa mwaka 2015 hivi ilivyoleta balaa?

Keki zilikuwa 4 kutoka kwa mababy tofauti, kila mmoja kampost insta na maneno mazito mazito!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kifo hakitakatishi ubaya ulionifanyia kipindi UPO hai,HATA kama nikija msibani ikitokea ukafufuka najua bado utazidi niumiza tuuu so Kwa swala la diamond na Jide nakubaliana nao kwa asilimia 100%. Hata ingekua mimi nisingerusha mguu wangu msibani.

Tusijidanganye marehemu hana kosa, SO eti akifariki ndio tufute makosa yake yoooteee HAPANA HAPANA hata Mungu hana ROHO nzuri ivyo..Ukifa ukiwa jambazi,kibaka,tapeli,mvuta bangi,muuwaji, nk nk nk Ukija fufuliwa siku ya mwisho MUNGU anakutupa JEHANAMU YA MOTO.

Ukishindwa rekebisha maisha yako kipindi cha uhai wako basi hamna wakukusafishia..Mondi Jide mko sahihi Simameni hapo hapo msiwe wa wanafki.
sasa wewe ni Imani gani hiyo uliyonayo ya visasi, imeandikwa samehe sabini mara sabini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi Ray C nae hukuona au hukujua mapenzi yao mubashara?
Hivi mnakumbuka ile birthday ya mpendwa wetu aliyetangulia nadhani ilikuwa mwaka 2015 hivi ilivyoleta balaa?

Keki zilikuwa 4 kutoka kwa mababy tofauti, kila mmoja kampost insta na maneno mazito mazito!

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mimi nakumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijamuona kabisa mwaka huu hata huko insta nilishamu-unfollow sikuwa hata na habari nae
[emoji3][emoji3][emoji3] akina Sudy walijituma ili wamfurahishe boss kumbe mwenyewe hajapenda

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakupenda, yule alikuwa anajielewa sana hakuwa na panick za kijinga kama shoga etu aliyeachia VN kumfurahisha Marioo heheeeee

Nimeshawahi kujishauri kumu-unfollow mara 4 ila naacha tu. Ngoja nile ubuyu baada ya msiba namfyekelea mbali.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante madame ila nataka kujua kisa kilikuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Story ndefu. Dina alisimulia mwenyewe.Alienda likizo ya uzazi,akaambiwa atahamishiwa kwenye tv.kasubiri wee,baadae ndo ikawa bye bye. Behind the scine,ikasemekana Zama hakutaka Dina arudi mjengoni hivyo akamconvice Boss Ruge amfute Dina kazi. Chanzo ni Zama,chuki binafsi.
 
Back
Top Bottom