TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Ray c nakumbuka enzi za mimba ya shubi akatoa dongo la "marry me cant u see am pregnant again" zama akaufyata. Mange akachekelea na u turn yake iliyokua inaelekea kufa
Vipi Ray C nae hukuona au hukujua mapenzi yao mubashara?
Hivi mnakumbuka ile birthday ya mpendwa wetu aliyetangulia nadhani ilikuwa mwaka 2015 hivi ilivyoleta balaa?

Keki zilikuwa 4 kutoka kwa mababy tofauti, kila mmoja kampost insta na maneno mazito mazito!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakupenda, yule alikuwa anajielewa sana hakuwa na panick za kijinga kama shoga etu aliyeachia VN kumfurahisha Marioo heheeeee

Nimeshawahi kujishauri kumu-unfollow mara 4 ila naacha tu. Ngoja nile ubuyu baada ya msiba namfyekelea mbali.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi nisingejaribu jamani [emoji3][emoji3] bora nililie kwenye range kuliko kuchekea kwenye tukutuku...jokes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na chuki pia wivu mkali,kipindi alichokua anaendesha Dina kilikua moto sana na blog ndo usiseme
Story ndefu. Dina alisimulia mwenyewe.Alienda likizo ya uzazi,akaambiwa atahamishiwa kwenye tv.kasubiri wee,baadae ndo ikawa bye bye. Behind the scine,ikasemekana Zama hakutaka Dina arudi mjengoni hivyo akamconvice Boss Ruge amfute Dina kazi. Chanzo ni Zama,chuki binafsi.
 
Daah yani kamfuta tu kazi bila kosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu vingine wala havihitaji nguvu nyingi kuanza Kuvihoji au kuviwekea hisia fulani na ambazo pengine zimechanganyika na Chuki zetu kwa Rais Dkt. Magufuli au Utawala wake huu au Chama chake cha CCM. Kama leo unahoji ni kwanini Mheshimiwa Rais alikuwa wa Kwanza Kututangazia Kifo cha Ruge mbona haujahoji au huhoji ni kwanini Rais huyo huyo ndiyo alikuwa wa Kwanza Kujitolea Pesa za Kumsaidia Ruge kwa matibabu yake huko Umauti ulikomkutia?

Hakuna asiyejua kuwa Marehemu Ruge alikuwa na ' influence ' kubwa sana si tu nchini bali hata Serikalini na katika Chama chake cha CCM kutokana na umuhimu wake hasa wa Kifikra, Kiuwajibikaji na Ubunifu ambao uliweza kumfanya akubalike na aaminiwe na hata kufanywa Waziri Kivuli asiye na Wizara ' Maalum ' kwa Imani kwani kuna Mambo mengine / Vitu vingine Ruge alikuwa akivifanya ambavyo hata hao wenye Dhamana Wakuu wa Mikoa au Mawaziri hawakuweza kufanya au kuthubutu vile vile.

' Protocally ' Kitendo tu cha Mheshimiwa Rais ' Kujitolea ' vile katika matibabu ya Ruge tayari ilikuwa ni taa ya Kijani kwamba ' State House ' ilikuwa kwa 75% inasimamia kila Kitu chake na huenda hata taarifa za Maendeleo yake ya Ugonjwa zilikuwa zinaanza Kwanza kumfikia Yeye kisha ndipo zinaenda kwa Familia yake. Kwa mantiki hiyo its so obvious kwamba hata Kifo chake kilipotokea ilkuwa ni rahisi Kwake Kuutangazia Umma na nina uhakika hata Familia ya Ruge nayo ilimkabidhi Mtoto wao kwa ' State ' hali ambayo ndiyo maana hata Tangazo la Kifo chake Kilipotokea tu Mwenye Hisa mkubwa ' Tajiri ' Joseph Kusaga alianza Kwanza Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Serikali yake ndipo akamalizia Kutushukuru na Kutupa pole akina ' Kajamba Nani ' siye.

Ni Mpumbavu / Popoma tu pekee ndiyo mpaka hivi leo hawezi kujua au hajajua kuwa ' Influence ' ya Ruge nchini ilikuwa ni Kubwa kuliko hata Watendaji wengine na ndiyo maana hata taarifa ambazo niligusiwa na Mtu mwaka jana ni kwamba kama isingekuwa huu Ugonjwa wake basi Marehemu Ruge ilikuwa ama ateuliwe Ubunge ili apewe Wizara au Kuundwe Taasisi moja muhimu nchini yenye Kujihusisha na Maendeleo ya Vijana na Ujasirimali ili aisimamie. Mheshimiwa Rais alimpenda sana Marehemu Ruge.

Mwisho kabisa kwa Kukusaidia tu ni kwamba ni desturi sehemu nyingi kwa Marais ambao huwa wanastaafu hupenda Kuwaacha ' Warithi ' Wao na taarifa muhimu za Watu wa Kufanya nao Kazi ili Uongozi wao uende vyema. Hakuna asiyejua kuwa Marehemu Ruge alikuwa ni Kipenzi cha Rais Mstaafu Kikwete na hata Mafanikio mengi ya Marehemu Ruge na Taasisi yake ya CMG yalikuja kuwa mazuri na kufanikiwa sana wakati wa Uongozi wa Awamu ya Nne hivyo ilikuwa ni rahisi mno kwa Mzee Kikwete ' Kumuambukiza ' Upendo wake kwa Ruge Rais Dkt. Magufuli ambaye kwa bahati nzuri nae pia aliona Uchapakazi wa Kutukuka wa Marehemu Ruge ndipo nae akaongeza Mapenzi yake maradufu Kwake.

Kikubwa kwa sasa tuache Kumjadili Marehemu Ruge kama tabia zetu za Kiswahili Kiswahili zilivyo bali tumuombee tu Makazi mema huko atakapohifadhiwa katika Nyumba yake ya Milele, Mwenyezi Mungu amsamehe, Sisi pia tumsamehe pale alipotukosea na tumuenzi zaidi kwa yale yote mema aliyoyafanya kwani siyo Siri alikuwa na Kipaji cha Kipekee kabisa na ameacha ' Legacy ' ya Kutukuka kabisa ambayo nina uhakika itatuchukua muda mrefu kuisahau na pengo lake kuja Kuzibika ni Kazi pevu / ngumu.

Rest In Peace ' Genius ' wa Entertainment and Creative Industry nchini Tanzania ' Mtani ' wangu wa Kihaya Ruge Mutahaba. Tutakukumbuka sana na mno Kaka. Nenda Kaka umeumaliza mwendo wako vyema na tuliobaki tutajitahidi kupita mule mule ulikokuwa Wewe japo najua Viatu vyako vitakuwa ni Vikubwa Kwetu na vitatupwaya kama siyo kutupwelepweta tu.
Mkuu umemaliza kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo results za insta wala usiziamini. Mtu anaweza kupost ili kuifanya jamii isimfikirie kivingine.

Ni sawa na ile ya Baby Madaha, watu walimchambaaaa.
Ni kweli, kama kapima mwenyewe na kapost mwenyewe nitamuamini vipi!

Ila hawa wadogo zetu tamaa zitawauwa. Kale Kanandy kama kameungua kweli masikini mtoto vile na wazazi wake wale wanaomtegemea kila kitu!
Siku hizi yupo na Joho 001

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa Zama najua maana mimi tangu nasoma Zama alikuwa clouds, nilikuwa namsemea mumewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Aaaaah hata mumewe yule anaonekana sio mdogo pia nionavyo mimi. Anaonekana mshamba tu ila anavyoringa sasa? Tokea amnyang’anye mwanamke mtoto wa mjini anajiona yeye ndio yeye.

Ile siku ya 40 alivyokuwa anakuna kitambi nilichefukwaaaa! Eti “Unajua mimi sio mtu wa media kabisa” Like who the hell he is jamani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni sawa na ile ya Baby Madaha, watu walimchambaaaa.
Ni kweli, kama kapima mwenyewe na kapost mwenyewe nitamuamini vipi!

Ila hawa wadogo zetu tamaa zitawauwa. Kale Kanandy kama kameungua kweli masikini mtoto vile na wazazi wake wale wanaomtegemea kila kitu!
Siku hizi yupo na Joho 001

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sema siku hizi kuna dawa ukijikubali na kunywa dawa unaishi miaka mingi tu. Huoni mjane wa yule wa BOT kazaa. Yule Joan aliyekuwa mpenzi wa yule mhonga magari mekundu BOT. Nimemsahau jina. Umeme mtu akiukwaa,kujikubali,dawa masharti anaishi miaka hata 50.
 
Aaaaah hata mumewe yule anaonekana sio mdogo pia nionavyo mimi. Anaonekana mshamba tu ila anavyoringa sasa? Tokea amnyang’anye mwanamke mtoto wa mjini anajiona yeye ndio yeye.

Ile siku ya 40 alivyokuwa anakuna kitambi nilichefukwaaaa! Eti “Unajua mimi sio mtu wa media kabisa” Like who the hell he is jamani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti sio mtu wa media hata angekuwa nani yuko interested? Mwanzoni walisema mtoto wa Majaliwa tukasema waaooh, daah kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story ndefu. Dina alisimulia mwenyewe.Alienda likizo ya uzazi,akaambiwa atahamishiwa kwenye tv.kasubiri wee,baadae ndo ikawa bye bye. Behind the scine,ikasemekana Zama hakutaka Dina arudi mjengoni hivyo akamconvice Boss Ruge amfute Dina kazi. Chanzo ni Zama,chuki binafsi.

Halafu haka Kazama kamegate away na vitu vingi sana. Ila hili jambo lilimuuma kila mtu, nami nikiwemo. Dina ana kipaji sana yule dada na Mungu hakumtupa kampa kipindi kwenye redio ambayo soon inaenda kutake over maana Clouds ndio baibai.
Zama yeye sasa hivi hana lolote, kabaki na magazeti yake instagram [emoji23][emoji23][emoji23]

Eti anajiita akili kubwa, content provider sijui nini.
Yani kutoka kwenye TV kubwa mpaka mpango alio nao wa kufungua YouTube channel ni aibu.

Hivi kwani si yupo wasafi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ray c nakumbuka enzi za mimba ya shubi akatoa dongo la "marry me cant u see am pregnant again" zama akaufyata. Mange akachekelea na u turn yake iliyokua inaelekea kufa

Hahaaaaa nakumbuka Ray alichamba sijui Bi*ch keep on popping em kids sijui nini

Ila mpendwa wetu marehemu alikuwa kwenye penzi motomoto kwelikweli na Ray wakati ule, Bi Mkora (Zama) akaingia kati alipambana mpaka akawasambaratisha.
Ray kwa stress akayarudia tena madawa [emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Halafu haka Kazama kamegate away na vitu vingi sana. Ila hili jambo lilimuuma kila mtu, nami nikiwemo. Dina ana kipaji sana yule dada na Mungu hakumtupa kampa kipindi kwenye redio ambayo soon inaenda kutake over maana Clouds ndio baibai.
Zama yeye sasa hivi hana lolote, kabaki na magazeti yake instagram [emoji23][emoji23][emoji23]

Eti anajiita akili kubwa, content provider sijui nini.
Yani kutoka kwenye TV kubwa mpaka mpango alio nao wa kufungua YouTube channel ni aibu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hana lolote,kumbe anawadanganya wafuasi wake watume ideas awape mitaji,ideas anaziitumia yeye na mitaji hawapi. Zero brain tu yule ashukuru kumseduice Ruge lasivyo hana lolote yule.
 
Back
Top Bottom