Lakini diamond hajawahi kumtaja Ruge kama ndie aliemfanya kawa hivi alivyo leo hata kidogo kamtaja aliemtoa kimuziki ambae wote tunamfahamu na kina babu tale tu.Umeandika kimipasho sana, hao unaowataja wote wamepitia kwenye mikono ya marehemu
If you clean a vacuum cleaner, doesn’t that make YOU a vacuum cleaner?
Leta ushahidi boss kuwa kusaga anazo hisa pale wasafi tv huna tafuta jina baya nikuiteMwenye kauli ya mwisho wasafi media ni kusaga na si balozi diamond
Mkuu una kaushahidi Joe anahisa wasafi?Mi ningemshangaa kusaga wasingerusha
Kusaga anayoinfluence wasafi,sioni sababu ya kumlaumi diamond na kumuacha kusaga
Sidhani kama Seba Maganga hataweza kuvaa viatu vya Ruge?Kusaga ndio atajua Umuhimu wa Ruge
Ruge alikubali kubeba Lawama zote Za Clouds wakati mmiliki amekaa Pembeni anasubiri Faida Za Biashara
Sasa ana Kazi kubwa Sana ya kupata Ruge mpya
Well said chiefMwenye kauli ya mwisho wasafi media ni kusaga na si balozi diamond
Yule jamaa hana uwezo huo,events zake za jembe ni jembe amezishindwa ataiweza clouds iliyobeba vichwa kama kina Masoud!
Kufanikiwa kwa Ruge ni sababu alikuwa 'ruthless' yaani hakuwa na masiala au huruma au ushikaji kwenye kazi kwenye maslahi ya pesa. Ndio maana wasiojua misingi ya biashara walimuona roho mbaya
Labda Millard na Masoud maana wao wameonyesha kuweza kuhundle hizo biashara zao za pembeniKufanikiwa kwa Ruge ni sababu alikuwa 'ruthless' yaani hakuwa na masiala au huruma au ushikaji kwenye kazi kwenye maslahi ya pesa. Ndio maana wasiojua misingi ya biashara walimuona roho mbaya
Pia alikuwa na nyongeza ya ubunifu.
Kijana mdogo Milard Ayo ni mzuri kibiashara lakini sio ruthless ni mpole flani.
Masoud ni mbunifu kiasi lakini bado kiwango cha Ruge na sio mzuri sana ktk usimazi wa biashara kubwa.
Seba mbunifu lakini sio kiwango cha Ruge na sio ruthless.
Sio Sebastian Ndege wa Jembe ni Jembe,Seba Maganga aka Waziri wa Ladha bongoYule jamaa hana uwezo huo,events zake za jembe ni jembe amezishindwa ataiweza clouds iliyobeba vichwa kama kina Masoud!
Sent using Jamii Forums mobile app