TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Umeandika kimipasho sana, hao unaowataja wote wamepitia kwenye mikono ya marehemu

If you clean a vacuum cleaner, doesn’t that make YOU a vacuum cleaner?
Lakini diamond hajawahi kumtaja Ruge kama ndie aliemfanya kawa hivi alivyo leo hata kidogo kamtaja aliemtoa kimuziki ambae wote tunamfahamu na kina babu tale tu.
.
Mchango wa ruge ni sawa na mchago wa muhaville.
 
Sidhani kama Seba Maganga hataweza kuvaa viatu vya Ruge?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufanikiwa kwa Ruge ni sababu alikuwa 'ruthless' yaani hakuwa na masiala au huruma au ushikaji kwenye kazi kwenye maslahi ya pesa. Ndio maana wasiojua misingi ya biashara walimuona roho mbaya

Pia alikuwa na nyongeza ya ubunifu.

Kijana mdogo Milard Ayo ni mzuri kibiashara lakini sio ruthless ni mpole flani.

Masoud ni mbunifu kiasi lakini bado kiwango cha Ruge na sio mzuri sana ktk usimamizi wa biashara kubwa.

Seba mbunifu lakini sio kiwango cha Ruge na sio ruthless.
 
52024292_2297474963875007_78294316216704454_n.jpg
52038644_402455393917811_3994989066587499691_n.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk, John Pombe Magufuli akisalimiana na wazazi wa Ruge Mutahaba hapa kwenye viwanja vya KarimjeeHall
 
Kufanikiwa kwa Ruge ni sababu alikuwa 'ruthless' yaani hakuwa na masiala au huruma au ushikaji kwenye kazi kwenye maslahi ya pesa. Ndio maana wasiojua misingi ya biashara walimuona roho mbaya

Pia alikuwa na nyongeza ya ubunifu.

Kijana mdogo Milard Ayo ni mzuri kibiashara lakini sio ruthless ni mpole flani.

Masoud ni mbunifu kiasi lakini bado kiwango cha Ruge na sio mzuri sana ktk usimazi wa biashara kubwa.

Seba mbunifu lakini sio kiwango cha Ruge na sio ruthless.
Labda Millard na Masoud maana wao wameonyesha kuweza kuhundle hizo biashara zao za pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom