TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Wewe ni mkubwa jinga hujui hata wasafi TV ni ya nani?
 
Ama kweli kufa kufaana, watu mmeshaanza kujadili na cheo chake apewe nani! Hebu tukamzike kwanza, halafu tutajadili.
 
Marehemu kapewa heshima kubwa Sana...but all in all ana deserve!
 
Leta ushahidi boss kuwa kusaga anazo hisa pale wasafi tv huna tafuta jina baya nikuite
Wasafi ina mabosi wa 3 na siku zote mtu mwenye hisa nyingi ndio msemaji wa mwisho na ndiyo mwenye maamuzi ya kila kitu kuhusu kampuni husika. Mabosi wa wasafi ni
1. Juhayna zaghalulu ajmy- hisa 53%
Huyu ni mke wa ndoa wa Joseph kusaga na ni mama watoto wa kusaga.

2. Nasibu abduli (diamond) hisa -45%

3.Ali khatibu _ hisa 2%

Ukitaka ushahidi wa tangazo lao walilopeka tcra ili wapewe leseni ya kurusha matangazo ambayo unaonesha huo mgawanyo ntakuwekea hapa pia, kwanza jichaghulie tusi la kukupa kabla sijakuonesha
 
Hivi sasa Wasafi tv wako live (mubashara) kwenye ukumbi wa karimjee kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi vya clouds.
.
Sasa wale ndugu zangu ambao mna chuki na diamond platnumz mliokuwa mkimsema kuwa hajaguswa na lolote semeni tena

Kuna mahali nimeona umekoment kwamba mdogo wako aliombwa nyuma na jamaa wa Clouds kwenye Fiesta.
 
Liweke hapa hilo tangazo, hakuna kitu kama hicho duniani na hata mbinguni yani mimi nianzishe kampuni na wewe tukapewe leseni na TCRA alafu wao ndio watangaze kuwa wewe unahisa 50 nami 50 mbona haiingii akilini hiyo kitu jukumu lao ni kutangaza nani anamiliki nini na nani hamiliki nini au ni kutoa leseni?
 
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.

Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
 
Wewe ni mkubwa jinga hujui hata wasafi TV ni ya nani?
Wewe mkubwa zuzu eleza ni ya nani na uweke ushahidi na usilete mboyoyo za kusema ni ya kusaga bila ushahidi
 
Nimekuambia jichaghulie tusi kwanza, ndo nikuwekee
 
RugeMutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.

Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
 
Asante kwa kutuwekea rekodi sawa.

Comment yenyewe hii hapa chini, nalazimika kuwaza atakuwa ni yeye mwenyewe jamaa;-

Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.

Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…