TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

View attachment 1035868
RugeMutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.

Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
So wamemuomba msamaha Dudubaya na wenzake kwa niaba ya marehemu?

Sasa kama familia inaomba msamaha wale viherehere waliokua wanamdiss dudubaya inakuaje
 
soma tena ulichokiandika,kiufupi umeandika ushuzi


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ulieandika utoko, nimeeleza vyema naomba ushahidi kama hauna sema nikuite jina gani baya la kukuudhi mpaka uniombee ban ya maisha
 
Uongo mkubwa huu, leta ushahidi mkuu kuwa diamond anahisa chache pale wasafi media usilete maneno ya mtumwa wa ngono mange kimambi.
.
Sizani kama unamjua vyema salam sk na babu tale wao ni zaidi ya ruge mutahaba kimitazamo na kiufanisi likija suala la muziki
Dimond hisa zake ni 25% zilizobaki zinamilikiwa na mke wa kusaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dimond hisa zake ni 25% zilizobaki zinamilikiwa na mke wa kusaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe jamaa mbona mnanichanganya angalia alichoandika mwenzako Sanchez magoli hapa👇
.
Wasafi ina mabosi wa 3 na siku zote mtu mwenye hisa nyingi ndio msemaji wa mwisho na ndiyo mwenye maamuzi ya kila kitu kuhusu kampuni husika. Mabosi wa wasafi ni

1. Juhayna zaghalulu ajmy- hisa 53%

Huyu ni mke wa ndoa wa Joseph kusaga na ni mama watoto wa kusaga.



2. Nasibu abduli (diamond) hisa -45%



3.Ali khatibu _ hisa 2%
 
Sitajichagulia kama ambavyo wewe hukujichagulia jina baya la kukuita hivyo basi weka hapa hilo tangazo uuwe mjadala huna utapata shida kwangu
Huyo wa kwanza ndiye CEO wa wasafi tv, mke wa kusaga juhayna na picha pili ni tangazo la tcra ndani yake utaona mgawanyo wa wasafi media
IMG_20190302_115850_215.JPG
u
IMG_20190302_115918_533.JPG
 
Hivi sasa Wasafi tv wako live (mubashara) kwenye ukumbi wa karimjee kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi vya clouds.
.
Sasa wale ndugu zangu ambao mna chuki na diamond platnumz mliokuwa mkimsema kuwa hajaguswa na lolote semeni tena
Wasafi ni mali ya Joseph Kusaga usisahau hilo!
 
Uongo mkubwa huu, leta ushahidi mkuu kuwa diamond anahisa chache pale wasafi media usilete maneno ya mtumwa wa ngono mange kimambi.
.
Sizani kama unamjua vyema salam sk na babu tale wao ni zaidi ya ruge mutahaba kimitazamo na kiufanisi likija suala la muziki
Ishu ni kuwa mwenye hisa kubwa ndio mwenye Maamuzi na huyo mtu ni Mke wa Kusaga na sio Diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom