Wivu na chuki za kishetani tuNdio kilichobakia kusemwa tu .....hawa jamaa sijui wanawaza kupitia nini mfyuuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
So wamemuomba msamaha Dudubaya na wenzake kwa niaba ya marehemu?View attachment 1035868
RugeMutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.
Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
Anayebisha atakuwa na mtindio wa ubongo kumwelewesha itakuwa haiwezekani tena,maana umemaliza kila kituHata angekuwa ameoa kama wazazi wake wapo sehemu husika msiba ungekuwa kwa wazazi wake tu
Ni mila za uhayani tu misiba kufanyikia kwa wazazi ama nyaluju(makao makuu ya babu au ukoo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulieandika utoko, nimeeleza vyema naomba ushahidi kama hauna sema nikuite jina gani baya la kukuudhi mpaka uniombee ban ya maishasoma tena ulichokiandika,kiufupi umeandika ushuzi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dimond hisa zake ni 25% zilizobaki zinamilikiwa na mke wa kusagaUongo mkubwa huu, leta ushahidi mkuu kuwa diamond anahisa chache pale wasafi media usilete maneno ya mtumwa wa ngono mange kimambi.
.
Sizani kama unamjua vyema salam sk na babu tale wao ni zaidi ya ruge mutahaba kimitazamo na kiufanisi likija suala la muziki
Mfanyakazi wa vyoo vya stendi kumbuka katika hiyo comment niliyoitoa nilisema "Sina ushahidi wa moja kwa moja"
Sasa wewe jamaa mbona mnanichanganya angalia alichoandika mwenzako Sanchez magoli hapa👇
Wasafi ina mabosi wa 3 na siku zote mtu mwenye hisa nyingi ndio msemaji wa mwisho na ndiyo mwenye maamuzi ya kila kitu kuhusu kampuni husika. Mabosi wa wasafi ni
1. Juhayna zaghalulu ajmy- hisa 53%
Huyu ni mke wa ndoa wa Joseph kusaga na ni mama watoto wa kusaga.
2. Nasibu abduli (diamond) hisa -45%
3.Ali khatibu _ hisa 2%
Unahisi diamond anahisa kiasi gani wasafi media?Hata mimi nimesema "nadhani" wewe ndiye, nikimaanisha sina uhakika wa moja kwa moja.
Huyo wa kwanza ndiye CEO wa wasafi tv, mke wa kusaga juhayna na picha pili ni tangazo la tcra ndani yake utaona mgawanyo wa wasafi mediaSitajichagulia kama ambavyo wewe hukujichagulia jina baya la kukuita hivyo basi weka hapa hilo tangazo uuwe mjadala huna utapata shida kwangu
Wasafi ni mali ya Joseph Kusaga usisahau hilo!Hivi sasa Wasafi tv wako live (mubashara) kwenye ukumbi wa karimjee kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi vya clouds.
.
Sasa wale ndugu zangu ambao mna chuki na diamond platnumz mliokuwa mkimsema kuwa hajaguswa na lolote semeni tena
Mambo za mange kimambi endelea kubaki nazo wewe unaeshikwa akili na mwanamke kuna mwenzako humu kanijuza diamond ana 25% sasa kabishane nayo huyo.Huyo wa kwanza ndiye CEO, mke wa kusaga juhayna na picha pili ni tangazo la tcra ndani yake utaona mgawanyo wa wasafi media
View attachment 1035887uView attachment 1035888
Hivi huyo Kusaga huwa anasaga nini, mbona mnababaikia sana, au anawapapasa nn?Mwenye kauli ya mwisho wasafi media ni kusaga na si balozi diamond
NeverUmeandika kimipasho sana, hao unaowataja wote wamepitia kwenye mikono ya marehemu
If you clean a vacuum cleaner, doesn’t that make YOU a vacuum cleaner?
Unahisi diamond anahisa kiasi gani wasafi media?
Nawashangaa sanaHivi huyo Kusaga huwa anasaga nini, mbona mnababaikia sana, au anawapapasa nn?
So wamemuomba msamaha Dudubaya na wenzake kwa niaba ya marehemu?
Sasa kama familia imomba msamaha wale viherehere waliokua wanamdiss dudubaya inakuaje
Ishu ni kuwa mwenye hisa kubwa ndio mwenye Maamuzi na huyo mtu ni Mke wa Kusaga na sio DiamondUongo mkubwa huu, leta ushahidi mkuu kuwa diamond anahisa chache pale wasafi media usilete maneno ya mtumwa wa ngono mange kimambi.
.
Sizani kama unamjua vyema salam sk na babu tale wao ni zaidi ya ruge mutahaba kimitazamo na kiufanisi likija suala la muziki
Hiyo document ya mange kimavi iamini wewe brother mimi sishikwi akili na mliwa jichoThread iko humu, na document zilishawekwa.
Itafute utaiona, ana 45%.
Yahh mke wake kusaga ndo boss mkubwa paleMi ningemshangaa kusaga wasingerusha
Kusaga anayoinfluence wasafi,sioni sababu ya kumlaumi diamond na kumuacha kusaga