Ana % ngapi kwenye hiyo wasafi?Hivi sasa Wasafi tv wako live (mubashara) kwenye ukumbi wa karimjee kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi vya clouds.
.
Sasa wale ndugu zangu ambao mna chuki na diamond platnumz mliokuwa mkimsema kuwa hajaguswa na lolote semeni tena
Nami nashangaaa,,,au walikua pika pakua familia inatambua?
Ila kama kweli,,naangalia gape la umrii[emoji33]
Kwa hiyo ili kumgundua mtu anavirusi vya ukimwi lazima nawewe uwe na virusi vya ukimwi? Embu kuwa kiakili mkuu
Wambea tusubirie😂
Wambea tusubirie[emoji23]
Hizi nyakati za kamera huwa hazimpiti
"Ninamuombea msamaha baba yangu kwa wale wote aliowakosea enzi za uhai wake, nasi tunawasamehe wote waliomkosea baba." Mwachi Rugemarila Mutahaba
"Ninamuombea msamaha baba yangu kwa wale wote aliowakosea enzi za uhai wake, nasi tunawasamehe wote waliomkosea baba." Mwachi Rugemarila Mutahaba
hana uvumilivu..wakiitwa wavumilivu zama hapenyi..alafu nashangaa watu wanamgwaya sna..labda coz sie wengine hatumfatilii sana..atajibeba..kutunza watoto had wafikie umri 18yrs si padogo..!hata k ana hela baba ni baba tuZama ni mvumilivu sana!
Ila alikosea mahesabu kidogo tu!
Angekuwa anaitwa mjane wa marehemu sasa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Angeomba mwenyewe ....View attachment 1035870
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.
Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
Inawezekana alimzaa akiwa mudogo mbona mkubwa hivView attachment 1035869
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.
Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
Wee anasema kazaliwa 83 shogaa [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilichoka mnoo siku hyooHata nilikuwa sijui ndio nikapewa ubuyu zilipotoka picha zake za baby shower kuwa alishaachana na mumewe na sasa hivi ana kiben10.
Ila director nae kutaka kutesa tu kiumbe, utu uzima ule bado anazaa? Mimi nilidhani ana uzazi wa matatizo maana sio kwa kuzaa kuke mtoto yule mmoja tu kumbe aliamua tu? Yule bila shaka yupo kwenye 40’s
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mmmh;kama hanyonyeshi hilo neno hilooo!!!mbona mbonaa!!!!Shoga unajua kama Zama huwa hanyonyeshi watoto? Sababu unaijua? Mahaba yasikupotoshe dear, kwahili tumsitiri sio vizuri kujadili afya za watu.
Umbea mwingine tuuseme ila la afya yake tuache wapendwa.
Sent from my iPhone using JamiiForums