TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hivi sasa Wasafi tv wako live (mubashara) kwenye ukumbi wa karimjee kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi vya clouds.
.
Sasa wale ndugu zangu ambao mna chuki na diamond platnumz mliokuwa mkimsema kuwa hajaguswa na lolote semeni tena
Ana % ngapi kwenye hiyo wasafi?
 
Kwa hiyo ili kumgundua mtu anavirusi vya ukimwi lazima nawewe uwe na virusi vya ukimwi? Embu kuwa kiakili mkuu

Nikisoma comments zako na jinsi unavyopanic ukiambiwa uliwapa walipokuomba, kuna tone ya kuonesha kwamba ni kweli uliwapa na bado wakakudump. Ndo maana una hasira nao.
 
Zama ni mvumilivu sana!
Ila alikosea mahesabu kidogo tu!
Angekuwa anaitwa mjane wa marehemu sasa....

Sent using Jamii Forums mobile app
hana uvumilivu..wakiitwa wavumilivu zama hapenyi..alafu nashangaa watu wanamgwaya sna..labda coz sie wengine hatumfatilii sana..atajibeba..kutunza watoto had wafikie umri 18yrs si padogo..!hata k ana hela baba ni baba tu
 
View attachment 1035870
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.

Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
Angeomba mwenyewe ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1035869
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.

Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
Inawezekana alimzaa akiwa mudogo mbona mkubwa hiv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata nilikuwa sijui ndio nikapewa ubuyu zilipotoka picha zake za baby shower kuwa alishaachana na mumewe na sasa hivi ana kiben10.

Ila director nae kutaka kutesa tu kiumbe, utu uzima ule bado anazaa? Mimi nilidhani ana uzazi wa matatizo maana sio kwa kuzaa kuke mtoto yule mmoja tu kumbe aliamua tu? Yule bila shaka yupo kwenye 40’s

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wee anasema kazaliwa 83 shogaa [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilichoka mnoo siku hyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom