TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

.
IMG_20190227_104800.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muundo huu wa barua mmmmmmh.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Rugemalila ndio jina lake kamili, alizoea kujiita Ruge kama kifupisho.
Siyo lazima kila Ruge awe Rugemalira, inaweza akawa Rugemela, Rugehiyamu au Ruge kama ilvyo. Hats hivyo kujadili jina aina maana, cha msingi ni kujifunza na kuyaenzi mema ya Ruge Mutahaba, na kujiandaa sisi tuliyobaki tukijuwa fika kwamba, Leo Ruge hatunaye tena, kesho Mimi na wewe ni ZAMU yetu kuondoka. Daima tuishi maisha yaliyo mema machoni mwa muumba wetu maana hatujui Siku wala SAA tutatwaliwa. Msiba wowote utukumbusheni kuwa hapa duniani sote tu wapita njia, siku moja tusioijua nasi tutalala mazima. R.I.P Ruge Mutahaba.
 
aisee ilimpata ndugu yangu hyo kifafa cha mimba sikuacha kuona rangi hata 1..pole
Asante sana nilikaa hospital wiki mbili baada ya kujifungua,hata kujifungua ilibidi waniwekee hormone ya kuinduce uchungu. Pressure kubwa,protein kwenye mkojo. Nilikuwa naona nyotanyota.
 
Pole kwa kuumizwa na misiba hiyo mitatu,pia hongera kwa kutofiwa na ndugu wa karibu aliekuumiza

mvujajasho nguli
Wapo ila oengine hawakuwa na mchango kwa jamii kama hao na hata jinsi walivyofariki inaweza ...Hayo ni maoni yangu au we unaonaje mkuu we hujaumizwa
 
Huyo mwenzio kakereka kwanini heading ina Rais wa Tanzania. Ndio nimemjibu hivo na sio kujipendekeza bali ni FACT. Hata kama Rais asingewekwa hapo bado kwa hadhi yake kuna vyombo vingi tu vya habari vingeandika Rais aungana na watanzania kumlilia Ruge. Kuna sehem inatakiwa siasa uchwara lkn sio kila Sehemu.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Watu weweeeee, pale msomi anapojadili mambo madogo na watu wenye elimu ndogo huku anazaidi ya miaka hajawahi kuanzisha mada yoyote ya hayo mambo ya msingi. Hope sasa umeamini hapa Tanzania hakuna tofauti ya msomi na yule ambaye hajasoma.
 
Barua ya bavicha imekaa kipopoma sana,poor design. Yani address ziko ovyoovyo.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Back
Top Bottom