Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kucha inaweza kukuondoa. Chamsingi omba Mungu akupe afya njema wakati wote.kwenye mwili wa binadamu ogopa sana ini na figo kupata hitilafu...
Ok, nilikuwa nahakiki tarehe tu maana mbege si mchezo!
Hakiki hii hapaOk, nilikuwa nahakiki tarehe tu maana mbege si mchezo!
Siyo lazima kila Ruge awe Rugemalira, inaweza akawa Rugemela, Rugehiyamu au Ruge kama ilvyo. Hats hivyo kujadili jina aina maana, cha msingi ni kujifunza na kuyaenzi mema ya Ruge Mutahaba, na kujiandaa sisi tuliyobaki tukijuwa fika kwamba, Leo Ruge hatunaye tena, kesho Mimi na wewe ni ZAMU yetu kuondoka. Daima tuishi maisha yaliyo mema machoni mwa muumba wetu maana hatujui Siku wala SAA tutatwaliwa. Msiba wowote utukumbusheni kuwa hapa duniani sote tu wapita njia, siku moja tusioijua nasi tutalala mazima. R.I.P Ruge Mutahaba.Rugemalila ndio jina lake kamili, alizoea kujiita Ruge kama kifupisho.
Vp imekuuma au mlitaka Nyie tu ndy mtoe poleOk, nilikuwa nahakiki tarehe tu maana mbege si mchezo!
ImekuumaKwa muundo huu wa barua mmmmmmh.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Barua imekaa kijinga sana hii haina weredi wowote kuanzia uandishi wake hadi mwaka wa kufariki kwake Ruge
inaonyesha tofauti ya viwango vya upopoma kati ya vyama viwili vya siasa..
Asante sana nilikaa hospital wiki mbili baada ya kujifungua,hata kujifungua ilibidi waniwekee hormone ya kuinduce uchungu. Pressure kubwa,protein kwenye mkojo. Nilikuwa naona nyotanyota.aisee ilimpata ndugu yangu hyo kifafa cha mimba sikuacha kuona rangi hata 1..pole
Wapo ila oengine hawakuwa na mchango kwa jamii kama hao na hata jinsi walivyofariki inaweza ...Hayo ni maoni yangu au we unaonaje mkuu we hujaumizwaPole kwa kuumizwa na misiba hiyo mitatu,pia hongera kwa kutofiwa na ndugu wa karibu aliekuumiza
mvujajasho nguli
Huyo mwenzio kakereka kwanini heading ina Rais wa Tanzania. Ndio nimemjibu hivo na sio kujipendekeza bali ni FACT. Hata kama Rais asingewekwa hapo bado kwa hadhi yake kuna vyombo vingi tu vya habari vingeandika Rais aungana na watanzania kumlilia Ruge. Kuna sehem inatakiwa siasa uchwara lkn sio kila Sehemu.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.