TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Watu weweeeee, pale msomi anapojadili mambo madogo na watu wenye elimu ndogo huku anazaidi ya miaka hajawahi kuanzisha mada yoyote ya hayo mambo ya msingi. Hope sasa umeamini hapa Tanzania hakuna tofauti ya msomi na yule ambaye hajasoma.
Roho inakuuma sana kwanini sijawahi anzisha thread lkn nakimbiza kwenye kujenga hoja wakati wa uchangiaji. Sina kipawa cha kuanzisha ila niko vizuri sana ktk kushiriki.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Barua ya bavicha imekaa kipopoma sana,poor design. Yani address ziko ovyoovyo.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
53026331_2165764990136992_1501146286051557376_n.jpg

ONA CCM WALIVYO MAKINI, WALIANDAA BARUA TOKA MWAKA JANA MWEZI WA PILI. CHADEMA YAO WAMEIANDAA USIKU WA KUAMKIA LEO HIVYO LAZIMA IWE NA UPOPOMA NDANI
 
Barua ya bavicha imekaa kipopoma sana,poor design. Yani address ziko ovyoovyo.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Wewe unaangalia mwandiko badala ya content.
 
Tunachelewa maendeleo kwa kujidhani kila siku vijana

Miaka 49 unakuaje kijana?
 
View attachment 1033146
ONA CCM WALIVYO MAKINI, WALIANDAA BARUA TOKA MWAKA JANA MWEZI WA PILI. CHADEMA YAO WAMEIANDAA USIKU WA KUAMKIA LEO HIVYO LAZIMA IWE NA UPOPOMA NDANI
Nashukuru kwa kukiri kuwa barua ya chadema ina upopoma ndani. Typing error ya mwaka ni ndogo sana kuliko huo muundo wa uandishi toka ufipa.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Rest in Peace, yeye ametimiza kusudio lake Duniani na ukurasa wake umefungwa rasmi. Inauma sana haswa kwa watu wake wa karibu. M/Mungu awape nguvu ya uvumilivu kwa wote walioguswa na msiba huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jinga unafananisha baraza la vijana ndani ya chama na chama chenyewe

Ccm sijui mtaacha lini ulofa
inaonyesha tofauti ya viwango vya upopoma kati ya vyama viwili vya siasa..

CCM: imesainiwa na Polepole leo tarehe 27 February 2018
Chadema
: imesainiwa na Sosopi leo tarehe 27 February 2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom