TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

R.I.P Ruge

Mwenyenzi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi! Pia akulipe sawasawa Na matendo yako , sisi sote ni wake Na kwake tutarejea

Sent from my Iphone using Tapatalk
Huwa inapunguzwa kwa style gani?

Watu bwana, kama moto moto kama uzima uzima

Taarifa zinasema Ruge kafariki kwenye mikono ya watumishi wa Mungu.
 
Ingependeza zaidi kama ungekuwa na moyo huu kipindi akiwa mgonjwa. Maana kwa sasa usingepata tabu kuuliza ingekuwa waenda tu kuaga.

Au ndio ulibanwa na majukumu Mkuu?
Alipokuwa anagugumia hospitalini hamkwenda kumuona. Leo kafa mnataka kwenda kumuaga, mnaekwenda kumuaga si Ruge ni maiti yake ambayo haiwezi hata kutambua uwepo wenu. Acheni unafiki.
 
R.I.P Ruge

Mwenyenzi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi! Pia akulipe sawasawa Na matendo yako , sisi sote ni wake Na kwake tutarejea

Sent from my Iphone using Tapatalk
Lakin tumuombee alale pema
 
Hivi kile kitabu cha wageni,, namimi nikienda ntasaiini au watu maarufu tu
 
Back
Top Bottom