Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Majibu yote yatapatikana, jamaa akitajiwa hiyo hospitali!Jamaa alikufa mwezi mmoja nyuma tangu mwez wa kwanza,,ile michango ilikuwa ni movie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu yote yatapatikana, jamaa akitajiwa hiyo hospitali!Jamaa alikufa mwezi mmoja nyuma tangu mwez wa kwanza,,ile michango ilikuwa ni movie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuukifo chake ni cha utata sana wala alikuwa aumwi km watu mlivyo aminishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Katumwa huyooooHakuna ubaya Msiba kuwa kwa baba yake... Labda kama umetumwa
Huwa inapunguzwa kwa style gani?R.I.P Ruge
Mwenyenzi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi! Pia akulipe sawasawa Na matendo yako , sisi sote ni wake Na kwake tutarejea
Sent from my Iphone using Tapatalk
Kwa nini hukuuliza alipokuwa mgonjwa?jamani Ruge amefia hospitali gani Afrika Kusini tuliopo huku tukamuage??
Sent using Jamii Forums mobile app
Adhabu ya kaburi ikoje?R.I.P Ruge
Mwenyenzi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi! Pia akulipe sawasawa Na matendo yako , sisi sote ni wake Na kwake tutarejea
Sent from my Iphone using Tapatalk
Alipokuwa anagugumia hospitalini hamkwenda kumuona. Leo kafa mnataka kwenda kumuaga, mnaekwenda kumuaga si Ruge ni maiti yake ambayo haiwezi hata kutambua uwepo wenu. Acheni unafiki.Ingependeza zaidi kama ungekuwa na moyo huu kipindi akiwa mgonjwa. Maana kwa sasa usingepata tabu kuuliza ingekuwa waenda tu kuaga.
Au ndio ulibanwa na majukumu Mkuu?
Lakin tumuombee alale pemaR.I.P Ruge
Mwenyenzi Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi! Pia akulipe sawasawa Na matendo yako , sisi sote ni wake Na kwake tutarejea
Sent from my Iphone using Tapatalk
Millpark siyo mayfair west? Karibu na Brixton? Labda kama nimechanganya ila nimeshakwendaga hapo kumjulia hali mgonjwa wangu
Wengi walikuwa hawamjui kama ni wa maeneo yaleWahaya bwana eti alikua maarufu lakini sio kwao!!yaani hao watu Mimi siwawezi kwa sifaq
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmHuwa inapunguzwa kwa style gani?
Watu bwana, kama moto moto kama uzima uzima
Taarifa zinasema Ruge kafariki kwenye mikono ya watumishi wa Mungu.