TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kweli Wachagga watabaki kuwa Wachagga....kwenye swala la kuendeleza nyumbani Wachagga tumepiga hatua mno...

Jamaa na pesa zote hizo kashindwa jenga kwao...?
Asee we kijijini kwenu mna nyumba kama hiyo???? Tuacheni unafiki wakuu.. mm kijijini kwetu kumejaa nyumba za nyasi tupu... hapo naona wameendelea sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga wanavyoviongea huwa na washangaa kama vile moshi hatupafahamu.Yaani wana inferiority Fulani mbele ya wahaya yaana huwezi kuta mchaga anamsifia muhaya hata kidogo huwa wanatafuta weekness Kwa wahaya ili waonekane wao ni Bora zaidi ya kila mtu Tanzania.

Nyumba kama hii mbona nzr Kwa maisha ya kibongoView attachment 1035598View attachment 1035599

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nyumba kama hii ina shida ubaya gani aisee, kama ulivyosema hata hapa Dar nyumba hii utaikuta Masaki huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTU kati anaumuhimu wake pia
Ina maana kipaji cha Diamond alikiweka kwake Ruge? Kwa taarifa yako Marehemu alikuwa anatazama mtu maarufu anaenda kujaribu kufanya biashara nae ili nae apate mkate kupitia huyo mtu na kwa taarifa yako mtu wa kati kwenye industry ndio anafaidika kuliko msanii mwenyewe ndio maana hakuna msaada alioutoa Zaidi ya kutaka ku-trade na watu wenye vipaji. Ukielewa industry ya muziki utajua nasema nini ila unaonekana hujui kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani ungeangalia upande tunaoangalia sie ungeelewa. Hao wawili dini zilikua tofauti na sababu kadhaa hivyo kwa miaka karibia 9 na kitu ndoa hakuna dalili na bibie shida yake ilikua ndoa ndo maana bwana mpya alipojitokeza fasta ndoa ikafungwa
Ndio maana nimesema wangeweza kufunga hata ya kimila kutokana na utofauti wa dini, wangapi wameoana dini tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia ya Ruge ipo imara sana,yaani haiyumbishwi kama ya kanumba hivyo bibie pale kagonga pabaya hapo wanamvumilia tu msiba uishe bila maneno maneno

Bifu lake na Ruge alilipeleka pabaya na vile mbaba wa watu hanaga vita vya wazi wazi basi kakaibuka kashindi na kujitapa mitandaoni. Kuumwa kwa Ruge alifurahi sana(kwa style ya bila mie utakoma) basi tu alishindwa weka bayana.

Wahenga wanasema kutesa kwa zamu,sasa ni zamu yake kusota maana mario kazi keshamaliza PM lazima atajiweka mbali nae hana faida tena

Asante kwa kuniweka sawa kuhusu msiba ulipo.

Shoga nasikia Nandy alitoa mimba ya marehemu, analia kufaaaaa! Msiba una mambo huu? Tunalia huku tunamung’unya ubuyu! 🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapana asingeitwa mjane bila ndoa.
Uvumilivu ulisaidiwa na pesa na ujenzi wa nyumba anayoishi kwa sasa.

Hivi ni kweli jamani ile nyumba anayokaa na yule Marioo alijengewa na marehemu? Nimekuwa nikisikia huwa siamini hadi leo.
Kama ndio hivyo marehemu kafa na mengi masikini [emoji24][emoji24][emoji24]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naona Mange kwenye fekero maarufu anampamba nandy balaa.

Kuwa anazimia muda wote na alikua na Ruge tangu anaumwa aiseee kuna watu waongo ila mange kazidi jamani.
Asante kwa kuniweka sawa kuhusu msiba ulipo.

Shoga nasikia Nandy alitoa mimba ya marehemu, analia kufaaaaa! Msiba una mambo huu? Tunalia huku tunamung’unya ubuyu! 🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naona Mange kwenye fekero maarufu anampamba nandy balaa.

Kuwa anazimia muda wote na alikua na Ruge tangu anaumwa aiseee kuna watu waongo ila mange kazidi jamani.

Hapana dear, OG sio Mange. Mbona huwa anaingia live mara kibao? Kuna mambo mengi wanatofautiana pia japo wanafanana kwa mengi maana OG huwa anasema Mange ni role model wake na alianza kumfuatilia tokea U-Turn.

Anajitahidi lakini wananzengo hatumuelewiiii. Bora hata angempamba Ruby, Nandy hauziki.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ile nyumba nguvu yake kabisa na hati itakua kwa jina la mtoto. Sana mpaka alifikia hatua ya kulia
Hivi ni kweli jamani ile nyumba anayokaa na yule Marioo alijengewa na marehemu? Nimekuwa nikisikia huwa siamini hadi leo.
Kama ndio hivyo marehemu kafa na mengi masikini [emoji24][emoji24][emoji24]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom