britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1035870
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.
Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"
Hakuna anayemgwaya...hana uvumilivu..wakiitwa wavumilivu zama hapenyi..alafu nashangaa watu wanamgwaya sna..labda coz sie wengine hatumfatilii sana..atajibeba..kutunza watoto had wafikie umri 18yrs si padogo..!hata k ana hela baba ni baba tu
Mnooo!!!alikua anampa kibri na nguvu alifanya figisu mpk dina marios akapunguzwa Clouds na mmewe ncha Kali!halafu nafikiri ncha Kali na dina nao wameachana!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman kumbe ana watoto wakubwa..ana mwili mzuri kwakweli..nadhan sababu ya pesa...lol..ilambona kina lowasa wana pesa ila wamejichooookeeeea...!kama mtamu balaa huyu anafaa![emoji4]
Jaman kumbe ana watoto wakubwa..ana mwili mzuri kwakweli..nadhan sababu ya pesa...lol..ilambona kina lowasa wana pesa ila wamejichooookeeeea...!kama mtamu balaa huyu anafaa!😊
Kumbeee!!!doohh!!ndo linampa maisha hiloo kumbe Ncha Kali kashatemwaa!!!ila Dina katuliazamani sana sana..kama.3 au 4 yrs back....dina amepanga nyaishozi jirani kbs na kwetu..ana danga jingine.ncha hakanyagi pale
Lowassa mkubwa sana kwa Ruge ujue. Mwili alionao ni sahihi kwa umri wake
Huyu jamaa ana ubishi wa kijinga sana usipoteze energy yako mkuu muache na ujinga wakeWasafi ina mabosi wa 3 na siku zote mtu mwenye hisa nyingi ndio msemaji wa mwisho na ndiyo mwenye maamuzi ya kila kitu kuhusu kampuni husika. Mabosi wa wasafi ni
1. Juhayna zaghalulu ajmy- hisa 53%
Huyu ni mke wa ndoa wa Joseph kusaga na ni mama watoto wa kusaga.
2. Nasibu abduli (diamond) hisa -45%
3.Ali khatibu _ hisa 2%
Ukitaka ushahidi wa tangazo lao walilopeka tcra ili wapewe leseni ya kurusha matangazo ambayo unaonesha huo mgawanyo ntakuwekea hapa pia, kwanza jichaghulie tusi la kukupa kabla sijakuonesha
zamani sana sana..kama.3 au 4 yrs back....dina amepanga nyaishozi jirani kbs na kwetu..ana danga jingine.ncha hakanyagi pale
zamani sana..ila shost ana nyodo.. ana zile za kukuangalia anakupandishq na kukushusha😂😂nashangaa public hiv anaonekana mtu wa watu ila home kwake ananyodo jaman huyu dada...!ngoja nisiongee sanaKumbeee!!!doohh!!ndo linampa maisha hiloo kumbe Ncha Kali kashatemwaa!!!ila Dina katulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Numby..kumbuka ruge anagonga 50@mie sikuamini.. ruge ana mwili mzuri zaidi..!lowasa hapana
Kumbe dina amepanga nilidhani nyumba yake duh,huyo ncha alinyakuliwa na kadada kengine,dina alijitahidi kumrudisha ikashindikana
Hata kama bado namtetea lowassa ana 65 na misukosuko yoote ya kisiasa bado anaita. Siasa si za mchezo mchezo. Cheki Zari wanasema ana 50 ila bado kanaita
yap..kapanga amepanga nyumba ya mke wa lissu..lakini nahis wameiuza kwa mtu mwingine sina hakika sana coz mie pale sio mkaaji sana..ila ni jirani kbs na sisi..tumeshea fence..ana madharau kama yote