TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

View attachment 1035870
Ruge Mutahaba ameacha watoto 5. Mkubwa ni huyu Mwachi ambaye amesoma wasifu wa baba yake hapa.

Familia ya Ruge Mutahaba wamesema wanatambua Ruge aliwahi kuwakosea watu kwa kuwa yeye ni binadamu hajakamalika. Mtoto mkubwa wa Ruge amesema "Familia inaomba msamaha kwa niaba yake." Lakini pia wapo waliomkosea Ruge na pengine wapo wanaoendelea kumkosea. Familia imesema "TUMEWASAMEHE WOTE....TUENDELEE MBELE"


Jaman kumbe ana watoto wakubwa..ana mwili mzuri kwakweli..nadhan sababu ya pesa...lol..ilambona kina lowasa wana pesa ila wamejichooookeeeea...!kama mtamu balaa huyu anafaa!😊
 
hana uvumilivu..wakiitwa wavumilivu zama hapenyi..alafu nashangaa watu wanamgwaya sna..labda coz sie wengine hatumfatilii sana..atajibeba..kutunza watoto had wafikie umri 18yrs si padogo..!hata k ana hela baba ni baba tu
Hakuna anayemgwaya...

Kwa wanaomfahamu yule kaka...
Hata kama na yeye alikuwa na lengo lake bado inabaki kuwa ni mvumilivu...
Uzuri anajielewa naamini atakuwa sawa tu si mjinga ki vile yule.. ... ....

Lawama hawezi kosa wanawake hawapendani ...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnooo!!!alikua anampa kibri na nguvu alifanya figisu mpk dina marios akapunguzwa Clouds na mmewe ncha Kali!halafu nafikiri ncha Kali na dina nao wameachana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app


zamani sana sana..kama.3 au 4 yrs back....dina amepanga nyaishozi jirani kbs na kwetu..ana danga jingine.ncha hakanyagi pale
 
Wasafi ina mabosi wa 3 na siku zote mtu mwenye hisa nyingi ndio msemaji wa mwisho na ndiyo mwenye maamuzi ya kila kitu kuhusu kampuni husika. Mabosi wa wasafi ni
1. Juhayna zaghalulu ajmy- hisa 53%
Huyu ni mke wa ndoa wa Joseph kusaga na ni mama watoto wa kusaga.

2. Nasibu abduli (diamond) hisa -45%

3.Ali khatibu _ hisa 2%

Ukitaka ushahidi wa tangazo lao walilopeka tcra ili wapewe leseni ya kurusha matangazo ambayo unaonesha huo mgawanyo ntakuwekea hapa pia, kwanza jichaghulie tusi la kukupa kabla sijakuonesha
Huyu jamaa ana ubishi wa kijinga sana usipoteze energy yako mkuu muache na ujinga wake
 
Kumbeee!!!doohh!!ndo linampa maisha hiloo kumbe Ncha Kali kashatemwaa!!!ila Dina katulia

Sent using Jamii Forums mobile app
zamani sana..ila shost ana nyodo.. ana zile za kukuangalia anakupandishq na kukushusha😂😂nashangaa public hiv anaonekana mtu wa watu ila home kwake ananyodo jaman huyu dada...!ngoja nisiongee sana
 
Kumbe dina amepanga nilidhani nyumba yake duh,huyo ncha alinyakuliwa na kadada kengine,dina alijitahidi kumrudisha ikashindikana


yap..kapanga amepanga nyumba ya mke wa lissu..lakini nahis wameiuza kwa mtu mwingine sina hakika sana coz mie pale sio mkaaji sana..ila ni jirani kbs na sisi..tumeshea fence..ana madharau kama yote
 
Hata kama bado namtetea lowassa ana 65 na misukosuko yoote ya kisiasa bado anaita. Siasa si za mchezo mchezo. Cheki Zari wanasema ana 50 ila bado kanaita


😂😂😂😂numby una uteam balaa sikuwez..eti zari ana 50😂😂
 
Back
Top Bottom